Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 24 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 05, 2008

    Michuzi,
    unajiachia mno mkubwa! Manake kila picha zako huko A-town uko na wa-dada!

    halafu hii picha yako inaashiria kuwa wewe ni mzee wa ZERO grazing sana!

    Sullivan Oyeeee.......

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 05, 2008

    Mithupu huyo switi mwenye wavu za miguu ni nakaaya sumari.Hizo nyavu na hivyo viatu alivaa kwenye tuzo za filamu. sasa unachokoza wadau, wameshahoji we na huyo switi kunani? ndo unazidi kutundika mipicha yake!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 05, 2008

    mh huyo wa juu naye

    miss keys

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 05, 2008

    Hii miguu mbona kama ya Nakaaya vile!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 05, 2008

    Du! dada na miguu mizuri huyo! kwa vyovyote ni mchagga.tehe tehe! aminia dada zangu.waosha vinywa semeni kama kawa yenu.

    Mangi wa K'koo

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 05, 2008

    yaani hizo ndo stockings za kuvaa kwenye mkutano kama huo? watanzania sometimes mnaaibisha. the meeting is not about show off....ni business!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 05, 2008

    we mzee we mbona una hatari!,hvi uliomba ruksa kupga pcha huo usafir?ila dah umeutoa utamu,2ache utani mwana unafaidi sana huko uliko,heri yko unaonja nation cake ila angali usipitilize ukala na vya wenzio uta-balali-wa

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 05, 2008

    mithupu na wewe ni mchokozi!!! na wasiwasi Mrs mithupu huwa hafunguagi blog yako...

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 05, 2008

    hiyo miguu itakuwa na Hope Masters lol

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 05, 2008

    Enhe???

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 05, 2008

    And the point...?!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 05, 2008

    Michuzi, kweli hiyo miguu yake? Tutaamini vipi? Unaweza kuwa unatuuzia mbuzi katika gunia!

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 05, 2008

    Michuzi angalia sana mchezo wako wa kukumbatia wake za watu utakuja kukatwa mikono hiyo.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 05, 2008

    Mivhuzi kumbe na wewe giant?
    Hongera

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 05, 2008

    usafiri gani huu!!!naona hii bajaaj nini?

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 05, 2008

    heh! mliletewa mastipper kwenye huo mkutano? Wow! mlifaidi sana...Manake hizo stocking za stippers, clubing tu. Sio za business attire

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 05, 2008

    hizo FISH NET sio za kwenye mikutano jamani. mvalie mpenzio chumbani wakati unamstripia.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 06, 2008

    And........!!!!!????

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 06, 2008

    Next...............................

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 06, 2008

    michuzi uko wapi kwasasa kwani wadau wako wa Arusha tunataka tukupige Lunch ya nguvu kabla hujaondoka ili upate cha kuadidhia uko uendapo.
    sweet
    ARUSHA. email, Proditram@gmail.com

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 06, 2008

    michuzi hivi mkeo huwa anaangalia hii blog au haujaowa?

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 07, 2008

    MICHUZI MIKONOOOOOZ NA WANAWAKE TU!!!! EEE LAKINI KWELI HASI NA CHANYA HUVUTANA, HATA SUMAKU NORTH POLE NA SOUTH POLE HUVUTANA.

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 07, 2008

    huyu dada aliyepiga picha na michuzi anaonekana ni chokoleti kala napenda sana wanawake wa rangi hii. ilani usijichubue kabisa dada alafu unamdomo mzuri na macho uwiiii michuzi nifanyeje? naomba email yake huyu dada baba michuzi tafadhali.
    mdau,

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 07, 2008

    nimempenda huyu dada sweet jamani nifanyeje?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...