Home
Unlabelled
switi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi,
ReplyDeleteunajiachia mno mkubwa! Manake kila picha zako huko A-town uko na wa-dada!
halafu hii picha yako inaashiria kuwa wewe ni mzee wa ZERO grazing sana!
Sullivan Oyeeee.......
Mithupu huyo switi mwenye wavu za miguu ni nakaaya sumari.Hizo nyavu na hivyo viatu alivaa kwenye tuzo za filamu. sasa unachokoza wadau, wameshahoji we na huyo switi kunani? ndo unazidi kutundika mipicha yake!
ReplyDeletemh huyo wa juu naye
ReplyDeletemiss keys
Hii miguu mbona kama ya Nakaaya vile!!
ReplyDeleteDu! dada na miguu mizuri huyo! kwa vyovyote ni mchagga.tehe tehe! aminia dada zangu.waosha vinywa semeni kama kawa yenu.
ReplyDeleteMangi wa K'koo
yaani hizo ndo stockings za kuvaa kwenye mkutano kama huo? watanzania sometimes mnaaibisha. the meeting is not about show off....ni business!
ReplyDeletewe mzee we mbona una hatari!,hvi uliomba ruksa kupga pcha huo usafir?ila dah umeutoa utamu,2ache utani mwana unafaidi sana huko uliko,heri yko unaonja nation cake ila angali usipitilize ukala na vya wenzio uta-balali-wa
ReplyDeletemithupu na wewe ni mchokozi!!! na wasiwasi Mrs mithupu huwa hafunguagi blog yako...
ReplyDeletehiyo miguu itakuwa na Hope Masters lol
ReplyDeleteEnhe???
ReplyDeleteAnd the point...?!
ReplyDeleteMichuzi, kweli hiyo miguu yake? Tutaamini vipi? Unaweza kuwa unatuuzia mbuzi katika gunia!
ReplyDeleteMichuzi angalia sana mchezo wako wa kukumbatia wake za watu utakuja kukatwa mikono hiyo.
ReplyDeleteMivhuzi kumbe na wewe giant?
ReplyDeleteHongera
usafiri gani huu!!!naona hii bajaaj nini?
ReplyDeleteheh! mliletewa mastipper kwenye huo mkutano? Wow! mlifaidi sana...Manake hizo stocking za stippers, clubing tu. Sio za business attire
ReplyDeletehizo FISH NET sio za kwenye mikutano jamani. mvalie mpenzio chumbani wakati unamstripia.
ReplyDeleteAnd........!!!!!????
ReplyDeleteNext...............................
ReplyDeletemichuzi uko wapi kwasasa kwani wadau wako wa Arusha tunataka tukupige Lunch ya nguvu kabla hujaondoka ili upate cha kuadidhia uko uendapo.
ReplyDeletesweet
ARUSHA. email, Proditram@gmail.com
michuzi hivi mkeo huwa anaangalia hii blog au haujaowa?
ReplyDeleteMICHUZI MIKONOOOOOZ NA WANAWAKE TU!!!! EEE LAKINI KWELI HASI NA CHANYA HUVUTANA, HATA SUMAKU NORTH POLE NA SOUTH POLE HUVUTANA.
ReplyDeletehuyu dada aliyepiga picha na michuzi anaonekana ni chokoleti kala napenda sana wanawake wa rangi hii. ilani usijichubue kabisa dada alafu unamdomo mzuri na macho uwiiii michuzi nifanyeje? naomba email yake huyu dada baba michuzi tafadhali.
ReplyDeletemdau,
nimempenda huyu dada sweet jamani nifanyeje?
ReplyDelete