wadau wa a-taun wakinishambulia bandani...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 06, 2008

    Hebu tuangalie vizuri tarehe ya picha hapo, kwa nini iko hapa leo??

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 06, 2008

    heee iyo camera yenu imekosea kusoma tarehe nini makubwa. ila mmependeza naona mko ndani ya sulvan bila kuacha konozzzzzzzzzzz
    sweet,
    Arusha.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 06, 2008

    Machalii niaje? Habari ya A-town, nimepamisi A-town kiroho mba- mbaya kweelii!!! Michu msalimie huyo Nyoka nime-mmind kinoo- kinoma sana! Kiswahili cha Arusha bwana..... tehe teh teh, mie hunifurahisha. Hakuna noma wala kokoro Mbuguni lazima twende One day yes!!Jelouse people never win!! Hayo ndio maneno maarufu ukiwa Arusha, usishangae ukiyasikia mara kwa mara.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 06, 2008

    Michuzi inaelekea ukitoka A-Tauni utakuwa unatembea kama njiwa kwani unapiga konoz hata kwa wanaume. Nasema kama njiwa kwa sababu jamaa unachukua snepu ni warefu kuliko. Hata wadada nao wamekuacha, don't worry inaonyesha jinsi gani ulivyo chiris taka na wao wanakutambua kama mkuu wa wilaya ya nanihiii.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...