baada ya kazi nzito na ya fanaka ya mkutano wa sullivan daily news na habari ambao tulifunga kambi a-taun leo tumeamua wikiendi hii tule vekeshen huku ngorongoro crater. hapa naendeleza linbeneke nikiwa huku shimoni sasa hivi. mambo ya 3G hayo!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 07, 2008

    Yes Mkuu wa Wilaya yangu, nakuona tuuu the fulanazziiii kama kawaida, salimia sana wote hapo ulio nao, yaani ninawasalimu kwa moyo wote wa upendo.

    Chibiriti.

    ReplyDelete
  2. Kaka!
    Naona 'ze mtandao at it's best!' Hongera weye na timu nzima kwa kutupa ya moto moto kutoka Sullivan. Kazi Nzuri!
    Maggid

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 07, 2008

    Mh angalau leo ze flanaz imeonekana. Sullivan jamani!!

    Ok, bwana michu, pole kwa kazi.

    Mdau- Amsterdam

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 07, 2008

    Michuzi,
    wewe mkali kila kukicha unebana kwen hiki ki tshirt, Mola ashukuriwe huna kikwapa maana kama una kikwapa hapo kazi ipo kwa walio pembeni mwako.
    Kila kukicha ni hii hii tu? kaukanikuvae ha ha ha ha

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 07, 2008

    Hey Daily news mmependeza sana,inaonekana mwajiri wenu(CCM?)anawajali sana,vipi namba 2 kutoka kwako kuelekea kulia nilete application letter?Wote wawili na aliyemwekea mkono.Mliondoka salama manake nyau pori wenye manyoya shingoni nao.
    Michuzi:Mimi binafsi nashukuru ulivyojitahidi ku-update blog licha ya kutingwa na shughuli za Sullivan

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 07, 2008

    Hiyo babu-kubwa misupu...kama 3G inapatikana ndani ya crater unaweza kufanya live streaming ya wanyama na dunia yote ikaona....

    Hongera kampuni ya nanihii

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 07, 2008

    kulamnchi mana kabla hujabambikiwa ufisadi

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 07, 2008

    Sawa kaka baada ya kazi ni....pumzisha akili -:)
    Londoner

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 07, 2008

    Sasa hao wanashangaa nini, Vista au Windows 95? maana wamekuja vekesheni mlima hawauoni wala bonde wanaangalia laptop (penshamu wani) kweli utalii si jadi yetu, We nawe misupu yani vekesheni unafanya kazi, kweli hiyo sio vekesheni!
    hahahaaha upo juu

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 07, 2008

    Imetulia hio, gud job

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 07, 2008

    kaka misupu umezidi na hiyo fulana sijui kama hainuki kwapa,daa kila siku na ile suti yako ya rangi ya naniii.

    mdau london.

    ReplyDelete
  12. Kaka Maluba shavu linakutoka mdogo wangu ulikuwa unapauka tu Pre Press si unaona rangi yako hiyo!!! hahaha tuwasiliane Mzazi.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 07, 2008

    Kaka Michuzi naona kafulana kanaanza kupauka hivi karibuni kitaanza kunyambuka.............Mtafute mwenzake

    Popobawa

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 09, 2008

    I would sincerely wish to congratulate the entire 'Daily News'Team for the good work done during the Sullivan Summit.My personal Asantez to Mze wa Konooooz (M.P.)M - Master of P - Photography and Peperuuuuuz! kwa kazi nzuri sana.You Kept us fully informed of the Sullivan Proceedings,and in the process we became part of it.The whole World,the Global Audience also became part of it too.And the Daily News In-Diaspora also became part of the Sullivan Summit!How about that Konooooz! -tonny-

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...