Home
Unlabelled
vekesheni ngorongoro
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Yes Mkuu wa Wilaya yangu, nakuona tuuu the fulanazziiii kama kawaida, salimia sana wote hapo ulio nao, yaani ninawasalimu kwa moyo wote wa upendo.
ReplyDeleteChibiriti.
Kaka!
ReplyDeleteNaona 'ze mtandao at it's best!' Hongera weye na timu nzima kwa kutupa ya moto moto kutoka Sullivan. Kazi Nzuri!
Maggid
Mh angalau leo ze flanaz imeonekana. Sullivan jamani!!
ReplyDeleteOk, bwana michu, pole kwa kazi.
Mdau- Amsterdam
Michuzi,
ReplyDeletewewe mkali kila kukicha unebana kwen hiki ki tshirt, Mola ashukuriwe huna kikwapa maana kama una kikwapa hapo kazi ipo kwa walio pembeni mwako.
Kila kukicha ni hii hii tu? kaukanikuvae ha ha ha ha
Hey Daily news mmependeza sana,inaonekana mwajiri wenu(CCM?)anawajali sana,vipi namba 2 kutoka kwako kuelekea kulia nilete application letter?Wote wawili na aliyemwekea mkono.Mliondoka salama manake nyau pori wenye manyoya shingoni nao.
ReplyDeleteMichuzi:Mimi binafsi nashukuru ulivyojitahidi ku-update blog licha ya kutingwa na shughuli za Sullivan
Hiyo babu-kubwa misupu...kama 3G inapatikana ndani ya crater unaweza kufanya live streaming ya wanyama na dunia yote ikaona....
ReplyDeleteHongera kampuni ya nanihii
kulamnchi mana kabla hujabambikiwa ufisadi
ReplyDeleteSawa kaka baada ya kazi ni....pumzisha akili -:)
ReplyDeleteLondoner
Sasa hao wanashangaa nini, Vista au Windows 95? maana wamekuja vekesheni mlima hawauoni wala bonde wanaangalia laptop (penshamu wani) kweli utalii si jadi yetu, We nawe misupu yani vekesheni unafanya kazi, kweli hiyo sio vekesheni!
ReplyDeletehahahaaha upo juu
Imetulia hio, gud job
ReplyDeletekaka misupu umezidi na hiyo fulana sijui kama hainuki kwapa,daa kila siku na ile suti yako ya rangi ya naniii.
ReplyDeletemdau london.
Kaka Maluba shavu linakutoka mdogo wangu ulikuwa unapauka tu Pre Press si unaona rangi yako hiyo!!! hahaha tuwasiliane Mzazi.
ReplyDeleteKaka Michuzi naona kafulana kanaanza kupauka hivi karibuni kitaanza kunyambuka.............Mtafute mwenzake
ReplyDeletePopobawa
I would sincerely wish to congratulate the entire 'Daily News'Team for the good work done during the Sullivan Summit.My personal Asantez to Mze wa Konooooz (M.P.)M - Master of P - Photography and Peperuuuuuz! kwa kazi nzuri sana.You Kept us fully informed of the Sullivan Proceedings,and in the process we became part of it.The whole World,the Global Audience also became part of it too.And the Daily News In-Diaspora also became part of the Sullivan Summit!How about that Konooooz! -tonny-
ReplyDelete