Home
Unlabelled
wadau wa konozzzzzzzzzzzzzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hebu tuangalie vizuri tarehe ya picha hapo, kwa nini iko hapa leo??
ReplyDeleteheee iyo camera yenu imekosea kusoma tarehe nini makubwa. ila mmependeza naona mko ndani ya sulvan bila kuacha konozzzzzzzzzzz
ReplyDeletesweet,
Arusha.
Machalii niaje? Habari ya A-town, nimepamisi A-town kiroho mba- mbaya kweelii!!! Michu msalimie huyo Nyoka nime-mmind kinoo- kinoma sana! Kiswahili cha Arusha bwana..... tehe teh teh, mie hunifurahisha. Hakuna noma wala kokoro Mbuguni lazima twende One day yes!!Jelouse people never win!! Hayo ndio maneno maarufu ukiwa Arusha, usishangae ukiyasikia mara kwa mara.
ReplyDeleteMichuzi inaelekea ukitoka A-Tauni utakuwa unatembea kama njiwa kwani unapiga konoz hata kwa wanaume. Nasema kama njiwa kwa sababu jamaa unachukua snepu ni warefu kuliko. Hata wadada nao wamekuacha, don't worry inaonyesha jinsi gani ulivyo chiris taka na wao wanakutambua kama mkuu wa wilaya ya nanihiii.
ReplyDelete