Mkurugenzi wa Clouds fm/Prime Time Promotions Joseph Kusaga akiteta jambo na Werrason mara baada ya kuwasili Dar. Werrason anatafanya onesho lake la kwanza leo Ijumaa usiku Ubungo Plaza ambapo kiingilio kimepangwa kuwa ni sh 20,000/= pamoja na msosi wa nguvu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 27, 2008

    dah! mbona watu hawa muonekano wao katika picha ni wa kimahaba? lol, mkono wa werrasson unaenda wapi tena? hahahaha! jokin

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 27, 2008

    Koma, Si kimahaba LUGHA " Kiswanglish & Kilingala". Du angalieni isije ikawa kina nanihii waliondoka bila $$$$$.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 27, 2008

    Ebana Niamini Mie Show Itakua Poa Halafu Nitakupa Mshiko Wako Yaani Wee Shaka Ondoa Unajua Sikutaka Kukutonya Tokea Paris Kua Hela Sina Maana Usingekuja.Niamini nakupa Hela yako....Kusaga Anaimbisha

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 27, 2008

    Huyo ndiye mkali wa sebene!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 27, 2008

    we acha kumbambia mwenzio

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 27, 2008

    werrason hana taimu..mtu fidenge anaonekana kama vile anajipendekezaring

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 27, 2008

    MICHUZI,WACHANA NA HIYO SUALA LA WELASON NAJUA SHOO ITAKUWA NZURI. KAKA UMEVUTA MSHIKO TENA WA NGUVU (Ndovu Bia)MATANGAZO.HEKO, TUKUTANE MACHOZI BAND.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 27, 2008

    Mbona huko nako kila siku kuparty lakini hamna anayesema mkiona party ya columbus basi moyo inawatoka juu...hey columbus people kama uwezo unao wa kwenda huko ukizingatia gas ni $5 per gallon nenda.....usisikilize ya watu lakini kama huna usitumie credit card......ndio uchumi mgumu sasa hili lakini hata research inaonyesha kuna 25% ya watu hawajui wala hawajaathirika na uchumi huuu watu wanaosema ni mgumu...who knows those guys are one of them...mifuko hailingan jamani...waachieni na huku watu waparty....iweje bongo tu ndio mle raha.....?????? .....bwana wangu final uzeeni....

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 27, 2008

    huyo mshikaji mwingine mzima kweli? kwani huo mkono na huo ukaribu unatutatanisha

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 28, 2008

    wote hawa niagieni!!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 28, 2008

    ebwana weeh piga shoo hapa ukimaliza mkwanja wako kama kawaida au sio mshikaji wangu,usikonde bwana, au sio ?? wabongo bwana saundi mvua mpaka kwa mabosi ndio maana hatuendelei.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...