Home
Unlabelled
werrason kufanya vitu leo ubungo plaza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
dah! mbona watu hawa muonekano wao katika picha ni wa kimahaba? lol, mkono wa werrasson unaenda wapi tena? hahahaha! jokin
ReplyDeleteKoma, Si kimahaba LUGHA " Kiswanglish & Kilingala". Du angalieni isije ikawa kina nanihii waliondoka bila $$$$$.
ReplyDeleteEbana Niamini Mie Show Itakua Poa Halafu Nitakupa Mshiko Wako Yaani Wee Shaka Ondoa Unajua Sikutaka Kukutonya Tokea Paris Kua Hela Sina Maana Usingekuja.Niamini nakupa Hela yako....Kusaga Anaimbisha
ReplyDeleteHuyo ndiye mkali wa sebene!
ReplyDeletewe acha kumbambia mwenzio
ReplyDeletewerrason hana taimu..mtu fidenge anaonekana kama vile anajipendekezaring
ReplyDeleteMICHUZI,WACHANA NA HIYO SUALA LA WELASON NAJUA SHOO ITAKUWA NZURI. KAKA UMEVUTA MSHIKO TENA WA NGUVU (Ndovu Bia)MATANGAZO.HEKO, TUKUTANE MACHOZI BAND.
ReplyDeleteMbona huko nako kila siku kuparty lakini hamna anayesema mkiona party ya columbus basi moyo inawatoka juu...hey columbus people kama uwezo unao wa kwenda huko ukizingatia gas ni $5 per gallon nenda.....usisikilize ya watu lakini kama huna usitumie credit card......ndio uchumi mgumu sasa hili lakini hata research inaonyesha kuna 25% ya watu hawajui wala hawajaathirika na uchumi huuu watu wanaosema ni mgumu...who knows those guys are one of them...mifuko hailingan jamani...waachieni na huku watu waparty....iweje bongo tu ndio mle raha.....?????? .....bwana wangu final uzeeni....
ReplyDeletehuyo mshikaji mwingine mzima kweli? kwani huo mkono na huo ukaribu unatutatanisha
ReplyDeletewote hawa niagieni!!
ReplyDeleteebwana weeh piga shoo hapa ukimaliza mkwanja wako kama kawaida au sio mshikaji wangu,usikonde bwana, au sio ?? wabongo bwana saundi mvua mpaka kwa mabosi ndio maana hatuendelei.
ReplyDelete