Home
Unlabelled
baba na mwana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wawaaaaa mambo kusaidiana kwakweli inapendeza ila huyu ni mtoto wake au mjukuu.?
ReplyDeletesweet,
Arusha.
Wadau... Kwa jinsi nilivyoiangalia hii picha nadhani ni Babu na Mjukuu na sio Baba na Mwana... CHA KUSIKITISHA NI KUWA INAWEZEKANA :
ReplyDelete(1)BABA NA MAMA WA MTOTO HUYO WAMEFARIKI.
(2)MAMA WA MTOTO AMBAYE PIA NI BINTI WA HUYO BABU KAMTELEKEZA HUYO MTOTO.
(3)BABU HUYO NI MKIWA YAANI AMEFIWA NA MKE KISHA (1) INAWASILISHA... naishia hapo
MACHOZI YANANILENGALENGA!!
MICHUZI NA WADAU WOTE. HUYU MZEE YOU NEVER KNOW. HUENDA HANA MKE AU MKEWE AMEFARIKI SASA AFANYAJE? SI LAZIMA ALEE MWENYEWE? HATA HIVYO UJEMBE UMEFIKA
ReplyDeleteLA,
ReplyDeleteHuu si mfano wa kuigwa bali wengi wabeba wanawo. Na siku hizi ni kawaida kabisa, labda ni ngeni kwa mhabarishaji.
Inawezekana pia huyu kuwa mtoto wa huyu mzee kwani kuna wazee wana wake vijana na wana unwezo wa kuwazalisha. Kwa kijijini haya ni mambo ya kawaida sana. Hongera sana mzee kwa upendo kwa mtoto na endelea kumwaga mbegu kwani tunajua mashine haizeeki
ReplyDeleteInawezekana huyu ni mtoto wa huyu baba(babu) Tanzania inazeesha sana. Unaweza kukuta huyu mtu sio mzee kabisa ...Jua letu tu kali...mama yake rafiki yangu yupo huku toka January ...mara ya kwanza nilimwona kama mzee sana...Sasa hivi ukimwona amekua kijana au amerudia umri wake aliotakiwa kuonekana...Jua letu kali ....Honesty kwa mtazamoa wangu huyu mtu yupo kwenye ealy 40's....
ReplyDeleteNyie wenzangu kokote mliko! asante kwa ujumbe mlioacha. Michuzi, yule jamaa aliyevaa tisheti iliyosema "me and 50 cent born one stomach" alichangiwa pesa kwa kuchekesha watu wengi. Sasa huyu babu si tumchangie naye jamani. itakuwa inamaanisha nini kubandika picha kwenye glob, halafu tunaitizima tu. Tall
ReplyDeleteni kweli naaungana na mdau hapo juu shida zinazeesha pia hivi vibaragashea huwa vinakomaza sura sana,mzee huyu ni kijana tu labda late 30's
ReplyDelete