mdau eline shaidi katuletea snepu hii sasa hivi kutoka makuyuni huko mji kasoro bahari, akisema huu ni mfano wa kuigwa wa kinababa katika kumsaidia mama kulea





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 04, 2008

    wawaaaaa mambo kusaidiana kwakweli inapendeza ila huyu ni mtoto wake au mjukuu.?
    sweet,
    Arusha.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 04, 2008

    Wadau... Kwa jinsi nilivyoiangalia hii picha nadhani ni Babu na Mjukuu na sio Baba na Mwana... CHA KUSIKITISHA NI KUWA INAWEZEKANA :

    (1)BABA NA MAMA WA MTOTO HUYO WAMEFARIKI.

    (2)MAMA WA MTOTO AMBAYE PIA NI BINTI WA HUYO BABU KAMTELEKEZA HUYO MTOTO.

    (3)BABU HUYO NI MKIWA YAANI AMEFIWA NA MKE KISHA (1) INAWASILISHA... naishia hapo

    MACHOZI YANANILENGALENGA!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 04, 2008

    MICHUZI NA WADAU WOTE. HUYU MZEE YOU NEVER KNOW. HUENDA HANA MKE AU MKEWE AMEFARIKI SASA AFANYAJE? SI LAZIMA ALEE MWENYEWE? HATA HIVYO UJEMBE UMEFIKA

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 04, 2008

    LA,
    Huu si mfano wa kuigwa bali wengi wabeba wanawo. Na siku hizi ni kawaida kabisa, labda ni ngeni kwa mhabarishaji.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 05, 2008

    Inawezekana pia huyu kuwa mtoto wa huyu mzee kwani kuna wazee wana wake vijana na wana unwezo wa kuwazalisha. Kwa kijijini haya ni mambo ya kawaida sana. Hongera sana mzee kwa upendo kwa mtoto na endelea kumwaga mbegu kwani tunajua mashine haizeeki

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 05, 2008

    Inawezekana huyu ni mtoto wa huyu baba(babu) Tanzania inazeesha sana. Unaweza kukuta huyu mtu sio mzee kabisa ...Jua letu tu kali...mama yake rafiki yangu yupo huku toka January ...mara ya kwanza nilimwona kama mzee sana...Sasa hivi ukimwona amekua kijana au amerudia umri wake aliotakiwa kuonekana...Jua letu kali ....Honesty kwa mtazamoa wangu huyu mtu yupo kwenye ealy 40's....

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 06, 2008

    Nyie wenzangu kokote mliko! asante kwa ujumbe mlioacha. Michuzi, yule jamaa aliyevaa tisheti iliyosema "me and 50 cent born one stomach" alichangiwa pesa kwa kuchekesha watu wengi. Sasa huyu babu si tumchangie naye jamani. itakuwa inamaanisha nini kubandika picha kwenye glob, halafu tunaitizima tu. Tall

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 06, 2008

    ni kweli naaungana na mdau hapo juu shida zinazeesha pia hivi vibaragashea huwa vinakomaza sura sana,mzee huyu ni kijana tu labda late 30's

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...