Breaking News: Basi la Jordan limepata ajali (limeanguka ) leo asubuhi maeneo ya Misasi . inasemekana basi hilo lilikuwa linaelekea Arusha au Dar.
Mdau
asante mdau kwa taarifa. globu ya jamii inafuatilia na italeta taarifa kadri zitavyopatikana
-Michuzi


Brza Michu,kwa kweli mabasi ya kwenda Kusini (Lindi na Mtwara) ni mabovu sana na ukiyaona huwezi kuamini kama yanabeba abiria. Sijui trafiki na watu wa SUMATRA wako wapi mpaka hali inakuwa mbaya kiasi hiki. Au ndio tuseme watu wa Kusini tuna laana?. Jamani tusaidieni tutakwisha!
ReplyDelete