mchezaji wa kimataifa dan mruanda akichezea timu ya rose garden akijaribu kumtoka mlinzi wa timu ya tigo katika mechi yao ya kirafiki siku ya warembo kuosha magari kwa hisani viwanja vya leaders club. matokeo yalikuwa suluhu pacha ya 1-1. ni kawaida kwa wachezaji nyota kujiweka fiti wakati wa mapumziko ya ligi kwa kuchezea timu za mchangani kwenye mechi za 'maharage'

Mirza Ngoshani, nakukumbuka LIBERO wangu, hakika Mrwanda hakukatiza kabisa
ReplyDeleteNgoshani nakumbuka enzi za shule Uganda mzee naona bado unaendeleza
ReplyDeleteMirza Ngoshani ni mume wa Dorothy K.Ngoshani!!!!
ReplyDelete