Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 21, 2008

    Kp umeniacha hoi sana na hii ya leo.

    Mbona huya Bashir kafanana na nanihii wa hapa kwetu. Haka kamustach acha tu.... heri mimi sijasema.

    Ignorant,
    Jeremani

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 21, 2008

    Sijasikia wataalamu wetu wa haki za binadamu akina Haroub Othman wakiandaa maandamano kulaani mauaji ya maelfu ya watu ambao kosa lao pekee ni kuwa na rangi nyeusi na sio waarabu. Lakini inapotokea majeshi ya Israel yameenda Lebanon all hell breaks loose in Dar. Kama kweli mngekuwa mnapigania haki ya binadamu kwa nini hamuandamani wakati Al Bashir anapoua raia wake zaidi ya 300,000?? Na tena kitu kinatokea hapo jirani yenu!!

    Waandamanaji wote wa Dar are a bunch of jokers.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 21, 2008

    We anoun wa 4:22 acha kumnyooshe mtu kidole wakati huna uhakika wa jambo lenyewe. Suala la Al-bashir ni tuhuma tu na bado suala hilo halijathibitishwa, Mwendesha mashataka wa The Hegue ameiomba tu mahakama ya kimataifa kumuita al-Bashir kortini ili kesi ifanywe na ikimalizika na iwapo atapatwa na hatia basi ndo unaweza ukasema hayo usemayo. Inaonekana ur after Israel so much, cos what u said about Haroub Othman and south lebanon proves that. Kwanini kama huyo mwendesha mashataka wa The hegue ni mkweli basi hata siku moja hakumuita Saddam wakati alipokuwa akiua makumi ya watu, au haonyeshi radiamali yoyote kuhusu bush na Blair kuhusiana na mamia ya raia wanaouawa kila siku huko Iraq na Afghanistan na wanajeshi ambao wanawalipa??... Its a shame to protect Israel wakati kila mtu dunaiani anafahamu Wazayuni ni wauaji na watumiaji mabavu,tena katika ardhi za watu! ...try to be logical when judging something otherwise u and ur fellow like kipanya will be a bunch of jokers!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 21, 2008

    naungana na anony wa 1. Maana mhh.. hilo shavu, udevu na miwani kama mzee fulani Mbongo, hihi. Hapa vipi KP?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 22, 2008

    Ama kweli afadhali kuwa mtumwa kuliko kuwa maskini wa mawazo.
    Waislam waliandamana hapa Tanzania kupinga ujio wa Bushi, lakini hawakuandamana kupinga kuuwawa kwa Waislam wenzao wa kiafrika na huyu Bashiri huko Darfur.

    Acheni kufuata misaada ya waarabu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 22, 2008

    Anony wa Tarehe July 21, 2008 5:36 PM kweli haujatulia. Bado unadhani mauaji ya Darfur ni tuhuma tuu. Bado unamtetea Al-Bashir sababu tuu ni muislamu wakati amekaa Khartoum na maelfu ya watu wanauawa katika nchi yake. Ni kitu gani kinawafanya muwe vipofu kiasi hicho?? Ni lini mtaanza kutumia akili zenu kifikiri??

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 22, 2008

    ngojeeni mafuta yatoke Bongo halafu mumunyime Bush na ndugu zake kama na kiongozi wenu pia hawajawekwa katika listi hiyo ya namna hiyo. Tofauti watabana matumizi ya kuendesha mashtaka na kumprlrka Arusha ICTR badala ya The Hague....

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 25, 2008

    BRO.MICHUZI PLZ USINIBINYIE MAONI YANGU TUWAELIMISHE WATU.WATANZANIA SISI NIWATU AMBAO HATUNA EXPOSHA .TUNAITAJI KUELIMISHWA!!HIVI MNAJUA KWAMBA KINACHOENDELEA SUDANI NI PROPAGANDA ZA DUNIA?NIKWELI WATU WANAKUFA BUT NIWAKINA NANI HAO WANAO WAUA?JIBU NIKWAMBA NI HAOHAO WANAOTAKA OMARY ELBASHIRI AKAMATWE,HII INATOKANA SUDANI IMEKATAA KUFANYA BIASHARA YA MAFUTA NA WAZUNGU ILA INAFANYA BIASHARA NA UCHINA!!KAMA MNAFUATILIA DATA SIKU YA KUTANGAZWA KUSHITAKIWA KWAKE KUNA NCHI KUBWA KAMA URUSI NA CHINA ZILIPINGA PIA WANANCHI WA SUDANI NAO WANAPINGA,MKUMBUKE ZILITOKA KAULI KWAMBA KAMA WANATAKA KUMSHITAKI ELBASHIRI WAANZE NA BUSHI NA KABINET YAKE KWA KUHUSIKA NA VIFO VYA MAMILIONI YA WATU IRAQ,KUCHOCHEA MGOGORO WA PALESTINA,AFGHANISTANI,AFRICA N.K WATU KILA KUKICHA MAMIA WANAUWA KWA AJILI YA FITNA ZINAZOFANYWA NA AMERICA,PIA WATU WALIOANDAMANA UJIO WA BUSHI BONGO WANAAKILI WANAJUA DUNIA INAVYOKWENDA BUSHI HAPINGWI TZ.PEKE YAKE ILA DUNIA NZIMA KILA ANAPOKWENDA WATU WENYEAKILI WANAANDAMANA,HATA NDANI YA NCHI YAKE WATU WANAANDAMANA KWENYE MIKUTANO YAKE AU ZIARA ZAKE,MSISHABIKIE VITU MSIVYOVIJUA AMERICA INATAKA KUTUJENGEA VIONGOZI MAPAPETI VIBARAKA WASIO NA MSIMAMO;VIONGOZI STRONG WANAKUA WANAUAWA AU KUPINDULIWA NA KUPANDIKIZA VIBARAKA WAO MFANO RUMUMBA CONGO,N.K HII NI BAADHI YA MIFANO TU!!WATANZANIA WENGINE HAWAJUI CHOCHOTE ZAIDI YA USHABIKI TU

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 25, 2008

    Mtoa maoni tar 25 july.

    I appreciate your tallent, it's real fantastic, keep dealing with facts, we real need people like you,,,,

    keep it up,,,,


    sempai----ughaibuni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...