Home
Unlabelled
mahojiano na tbc
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kumbe Mkuu wa wilaya ya naninhiii Muoga wa kuhojiwa kiasi hicho!......Hahahahahahah hapo ni ukuu wa wilaya mkoa je?////////
ReplyDeleteSwali lilikua gumu nini? Wewe mjanja tu nyuma ya camera....
ReplyDeleteNa hao na maswali yao waambie uko kazini wewe ni mwandishi wa habari wa picha sasa hizo picha utazipiga kwa kutumia satelite au.......???
Kumbe michuzi unapenda ujiko hivyo hata KITENGE ULICHO VAA KINA JINA LAKO.
ReplyDeleteISSA UNA SURA/UMBO LA KILEVI, MAALIM UKO MKAO WA KUNYWA "TEMBO" WEYE.
ReplyDeleteIt's true ana sura ya kileve kama halewi sasa basi zamani alikuwa mlevi.thetheeheee anaelekea analipuliza huyu.MZEE WA GANJA HUYOOOOOOO.
ReplyDeleteAnko michuzi,ujanja mwingi kwenye blog kumbe mwoga wa Video Camera maskini,angalia pozi lako la uoga baaadhi ya wanablog wameligundua.Confidence zero michuzi,mkubwa umetia fora kwakweli kwa sababu upo kwenye media group,why should you worry of such a camera??Ila Kuonekana kwenye luninga ni soo kusema ukweli au wadau mnasemaje?
ReplyDelete