mkuu wa nanihii ya nanihii akihojiwa na tbc huko zenj katika ziff , swali likiwa ni kwa nini yuko nje ya kituo chake cha kazi katikati ya wiki, kwa mujibu wa mleta habari na picha Mdau Dean wa Ziff

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 19, 2008

    Kumbe Mkuu wa wilaya ya naninhiii Muoga wa kuhojiwa kiasi hicho!......Hahahahahahah hapo ni ukuu wa wilaya mkoa je?////////

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 19, 2008

    Swali lilikua gumu nini? Wewe mjanja tu nyuma ya camera....

    Na hao na maswali yao waambie uko kazini wewe ni mwandishi wa habari wa picha sasa hizo picha utazipiga kwa kutumia satelite au.......???

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 20, 2008

    Kumbe michuzi unapenda ujiko hivyo hata KITENGE ULICHO VAA KINA JINA LAKO.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 20, 2008

    ISSA UNA SURA/UMBO LA KILEVI, MAALIM UKO MKAO WA KUNYWA "TEMBO" WEYE.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 21, 2008

    It's true ana sura ya kileve kama halewi sasa basi zamani alikuwa mlevi.thetheeheee anaelekea analipuliza huyu.MZEE WA GANJA HUYOOOOOOO.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 21, 2008

    Anko michuzi,ujanja mwingi kwenye blog kumbe mwoga wa Video Camera maskini,angalia pozi lako la uoga baaadhi ya wanablog wameligundua.Confidence zero michuzi,mkubwa umetia fora kwakweli kwa sababu upo kwenye media group,why should you worry of such a camera??Ila Kuonekana kwenye luninga ni soo kusema ukweli au wadau mnasemaje?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...