Home
Unlabelled
msimamo kombe la kagame cup
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kama timu ziko 10 tu, na makundi matatu, robo fainali ya nini? Haina maana kuwa na mechi za awali, halafu timu zilizokuwa za mwisho kwenye kundi bado zinacheza robo fainali!? Kwa maoni yangu hapo ingeenda nusu fainali moja kwa moja. Wangechukua timu ya 1 toka kundi B na C na timu ya 1 na 2 toka kundi A. Ingeleta maana na msisimko katika mashindano.
ReplyDeleteAu, wangegawanya timu katika makundi mawili ya timu 5 kila moja, kisha ingechezwa nusu fainali kati ya mshindi wa 1 wa kundi A na wa 2 wa kundi B. Na msindi wa 2 wa kundi A na wa 1 wa kundi B. Ingeongeza idadi ya michezo kwa mechi 4 zaidi, na ugumu wa mashindano ungeongezeka na kuleta msisimko zaidi.
Naunga mkono hoja ya mdau alietangulia, naona mashindano haya kwa mwaka huu hawakujipanga vizuri..huwezi kuwa na makundi matatu halafu robo fainali iamuliwa kwa mtindo huu, makundi yangekua walau mawili, timu mbili kila kundi zikutane nusu fainali.
ReplyDelete