Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kama timu ziko 10 tu, na makundi matatu, robo fainali ya nini? Haina maana kuwa na mechi za awali, halafu timu zilizokuwa za mwisho kwenye kundi bado zinacheza robo fainali!? Kwa maoni yangu hapo ingeenda nusu fainali moja kwa moja. Wangechukua timu ya 1 toka kundi B na C na timu ya 1 na 2 toka kundi A. Ingeleta maana na msisimko katika mashindano.

    Au, wangegawanya timu katika makundi mawili ya timu 5 kila moja, kisha ingechezwa nusu fainali kati ya mshindi wa 1 wa kundi A na wa 2 wa kundi B. Na msindi wa 2 wa kundi A na wa 1 wa kundi B. Ingeongeza idadi ya michezo kwa mechi 4 zaidi, na ugumu wa mashindano ungeongezeka na kuleta msisimko zaidi.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 22, 2008

    Naunga mkono hoja ya mdau alietangulia, naona mashindano haya kwa mwaka huu hawakujipanga vizuri..huwezi kuwa na makundi matatu halafu robo fainali iamuliwa kwa mtindo huu, makundi yangekua walau mawili, timu mbili kila kundi zikutane nusu fainali.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...