AmaL HousE provides a platform for estate agents, brokers and developers to showcase their property portfolios to both local and international buyers.
Buyers are able to view an extensive range of properties, in various property categories, via our 'user-friendly' Property Portal http://amalhouses.blogspot.com/



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 18, 2008

    wekeni picha kubwa basi....mnapigia na simu nini?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 18, 2008

    sasa huyu mtu wako ana sema easy to usse website mbona hana email? mwambie aache ushamba ukamilike ndio uje hewani.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 19, 2008

    na hiZo bei anajiwekea tu au? kwa mfano nyumba moja kubwa inapangishwa kwa tshs 450,000/- kwa mwezi alafu nyumba kama hiyo hiyo chini yake inapangishwa kwa $ 2500 kwa mwezi.

    Wabongo kweli biashara hatuwezi. Bei zinapanda na kushuka kutegemea na mnunuzi :)

    Wekeni bei nzuri mpate watu. Au jengeni nyumbani ambazo zitakuwa nafuu kwa wabongo then you will make a lot of money.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 19, 2008

    Bado inaonyesha kwa jinsi gani wabongo tupo nyuma. We unaweka website ambayo kwanza si USER FRIENDLY, to prove more how the site is bogus and crap, hizo pics hazifunguki kubwa. Bei za kupangisha hazi specify kama nyumba inapangishwa kwa mwezi, miezi sita au mwaka. Organise kazi yako kabla ya kuanza kui market, Usiendelee kuboa watu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 19, 2008

    Bwana hebu tafuta website basi multi millionear real estate agent unatumia blog?????? Tumia hata myspace or face book basi.....
    Halafu unamaana gani ukisema hiyo ni apartment ....that house ni apartment au ziko nyumba nyingi humo ni picha haijielezi vizuri au unarent rooms tu kwa watu tofauti???? Kuwa serious kama unafanya biashara ya hela yote hiyo

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 22, 2008

    Hizo bei unajiwekea tu au unajua maana yake??? eti us 350,000!!kwikwi wabongo bwana!!! weka bei ya kueleweka utape wateja!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...