Brother Michuzi,
Mie ni mdau wako wa blog na tovuti yetu ya michuzi,nilikuwa nataka kukuhabarisha kwamba,matokeo ya vyuo yanapatikana sasa kwa njia ya sms.
ukitaka kupata Matokeo,
tuma sms yenye neno Apply[space]index number kwenda 15522.
matokeo yanayopatikana ni kwa vyuo vya:
UDSM, MZUMBE, Zanzibar State University, SUA, TUDARCO, AU, UDOM, ST. Augustine, MUCCOBS, MWUCE, DUCE, IUCO, SUZA, RUCO, MUHAS( Muhimbili), MMU, TEKU, ZU, WBUCHS, SMMUCO, St Johns, Open University, SEKUKO, RUSSIA, MUCO.
naomba uibandike katika blogu yetu ya jamii mkuu kwa taarifa ili watu waweze kujua nafsai zao.
gharama yake ni 250 tu.
Mdau,
Abel
Mdau,
Abel


Hivi nchi yetu nayo siku hizi ina States....Hiyo Zanzibar STATE University Ni kwa ajili gani?
ReplyDeleteBongo ....bwana full of surprises kila siku ...Wangeita angalau Zanzibar Island University, au hata region, or public ...Sijui na sielewi kigezo cha kuita State kilikua kipi...au waloita state walijua maana ya hilo neno....??????
Bongo hatuna states tuna mikoa, wilaya bwana
sasa wewe mwandishi nawe..sijui ndio umegraduate au!? you cant write a compelete tangazo. sasa ni 250 pounds,shillings,dollar au?
ReplyDeletewe wajuu hapo wacha ufala kwani umeambiwa bongo tunatumia pound au dola. Au ndio kujifanya kujua kukosoa kila kitu. Mbwisi nini weye
ReplyDeleteKwa Russia itakuwa ngumu maana majibu ya mitihani unapata hapohapo(oral)au baada ya dakika chache(Writing)
ReplyDeleteWadau , naomba msaada kila niki sms kama ulivyoelekezwa , napata sms 'sorry you have sent invalid command'
ReplyDeleteje indexnumber ni registration au exam no ?
ntashukuru kwa msaada maana ntaka jua hatma ya UE.
for more help my mobile is 0754058970
vipi michuzi, mbona sioni KCMC hapo kwenye hivyo vyuo. halafu ukituma sms inasema code siyo sahihi, au huo ni uzushi
ReplyDelete