Makamu mwenyekiti wa chuo kikuu cha dodom Prof. Idrisa Suleiman Kikula (mwenye gogoz) akizungumza na waheshimiwa wabunge baada ya wabaunge hao kutembelea majengo mapya ya chuo kikuu cha dodoma univesti mjini dodoma leo. shoto ni waziri wa kazi ajira na maendeleo ya vijana mhe, profesa Juma Kapuya. chini wabunge wakitembelea majengo mapya ya chuo hicho


hapo kuna sehemu iitwayo kikuyu basi mambo yote ni hapo
ReplyDeletehongera!!! lakini nchi mbona ina maprofesa wengi ? nadhani watu wakielimika zaidi na ufisadi huwa unapungua, elimu na ufisadi havikubaliani, au hizi degrees za bandia, sijaona nchi ina maprofesa kama bongo!!!!
ReplyDeletemambo yote "chako ni chako"
ReplyDeleteMh jaman yaan hao viongozi wameenda tu kutembelea hiyo project inayoendelea wote wamepewa herlmets lakini wale casual labour maskini wala hawapewi na hizo PPE(Personal Protective Equipments) na mkandarasi wakati wa kufanya kaz. serikali yetu bwana. yaan wala haijali kabisa health and safety katika construction sites
ReplyDeleteHongera sana DR.RAMADHAN DAU WA NSSF.
ReplyDeletekazi yako tunaiona,unawekeza kwenye elimu na mambo ya muhimu kwa jamii,
kama hiki chuo kikuu cha Dodoma, juzi tu umetangaza kujenga daraja la kufa mtu-KIGAMBONI,mara ujenzi wa nyumba za polisi, mara jengo la bunge, hivi ndivyo mfuko wa pension unavyotakiwa kutumika.
sio viongozi waliopita wa shirika hili waliokuwa wakiwakopesha kina Mbowe KUJENGA MBOWE CLUB AU BILLICANAS huku positive impact ya mradi huo ikiwa haipo.
matokeo yake wadeni hawataki kurudisha deni.
Hongera Nssf wenye macho tunaona.
HONGERA for all those made that happen.
ReplyDeleteLAKINI NSSF hawana wabunifu wa majengo, hayo majengo si kama ya MABIBO HOSTEL- UDSM?
Hongera NSSF, lakini nawashangaa, inakuwaje wafanyakazi wenu hamuwajali? nasikia mumewaongezea kodi ya pango kwa wale wafanyakazi wanaoishi katika nyumba zetu mpaka sh. 400,000 kwa mwezi toka 100,000. isije ikawa munajenga nyumba za nje (polisi, elimu, daraja, godown ) halafu munawakandamiza sana wafanyakazi wetu, au ndiyo dalili za kufilisika. siyo uungwana hata kidogo!!!
ReplyDelete