hapa nipo maeneo ya zoologicher garten jijini berlin. ujerumani, mwaka 1992 katika harakati ya kusaka tujinondozzz. enzi hizo afro na gogoz kama hatuna akili nzuri. ujana raha jamani, basi tu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ujana raha, kwani umeshakua mzee? mbona bado kijana, hapo sehemu napajua, karibu na hio station ya trein pana hostel niliwahi kulala hapo kwa siku mbili nikienda Poland

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...