

Habari za siku nyiingi kaka yangu. Sisi huku wote wazima. Nakuomba unitundikie ndugu yetu na mpenzi wa globu yetu ya jamii bwana Anwar pichani.
Anawasalimu ndugu, rafiki, jamaa na Watanzania wote duniani. Anwar anasheherekea basidei yake ya kufikisha miaka 40 na anasema ndio kwanzaaaa "Life starts at 40".
Ahsante na Salamu.
-- Zenjydar Community Association
aisee,hivi huyu jamaa si ndo wakina mish cafe wa temeke au anuar mwingine?
ReplyDeletehapo umepatikana
ReplyDelete