Mama wa kwanza salma kikwete akisherehekea pamoja na wanaushirika wa maendeleo kidongo chekundu (UMAKI-SACCOS) huko kwahani zanzibar mara tu baada ya kuizindua rasmi saccos hiyo.kulia kwa mama kikwete ni mheshimiwa asha abdalah juma,waziri wa ajira,wanawake na watoto wa zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...