
mpiganaji mwenzetu paschal mayalla akiwa kitandani katika mojawapo ya wodi katika taasisi ya mifupa ya moi ambako anaendelea vyema na matibabu, ikiwa ni kiasi cha wiki moja iliyopita toka apate ajali ya pikipiki akiwa njiani kuelekea dodoma. mkono wake wa kushoto ndilo uliopata madhara makubwa zaidi na yale maumivu yake ya kichwa sasa kidogo afadhali
pole sana kaka Pascal, tunakuombea kwa Mungu upone na urudi katika kazi zako muhimu za kulijenga taifa. Robert Mujuni
ReplyDelete