mpiganaji mwenzetu paschal mayalla akiwa kitandani katika mojawapo ya wodi katika taasisi ya mifupa ya moi ambako anaendelea vyema na matibabu, ikiwa ni kiasi cha wiki moja iliyopita toka apate ajali ya pikipiki akiwa njiani kuelekea dodoma. mkono wake wa kushoto ndilo uliopata madhara makubwa zaidi na yale maumivu yake ya kichwa sasa kidogo afadhali

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. pole sana kaka Pascal, tunakuombea kwa Mungu upone na urudi katika kazi zako muhimu za kulijenga taifa. Robert Mujuni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...