The Mission Band watakuwa RoseVille Minessota nchini U.S.A. tarehe 28/09/2008 saa 10:00 za jioni kwa Concert kabambe ya muziki wa Injili.

Itakuwa ni concert ya waafrica kutoka nchi mbalimbali zikiwemo Tanzania, Zaire, Uganda, Ethiopia, Zambia, Ghana, Kenya na zinginezo nyingi.

Kama kawaida watu wote wanakaribishwa kuhudhuria concert ya mwaka.

Kwa wale wanaotoka nje ya state na wanahitaji kufanyiwa taratibu za malazi tafadhari wasiliana na Mch. G. Mallisa (763) 843 - 0782.

Au tembelea tovuti yetu





pia unaweza kutuandikia katika e-mail yetu




kwa maelezo zaidi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Michuzi, hivi kweli hao wakinadada na hizo jeans ni watu wa injili ile ya masia? Tight jeans na injili, wapi na wapi? Wadau hii imekaaje?

    ReplyDelete
  2. Wabongo chuki binafsi hadi lini jamani? Fuata mafundisho ya injili usifuate mavazi yao....... Hata wakivaa baibui mtazua vya kusema tu. People need to stop hating

    ReplyDelete
  3. kama unazungumzia mavazi ya kiinjili watu wa kale enzi hizo abazo zinasadikika kuwa walikuwa wakiongea na mungu,walikuwa wanavaa kama kanzu hivi kwa mujibu wa picha tunazoonyeshwaga.sasa sijui unataka wavae hivyo au? hayo mambo ya kanzu vaeni huko huko ushenzini kwani ujapanda ndege sikuhizi na kazu labda uwe unakwenda uarabuni. wewe kama unataka hizo dengriz za kubana sema watu wakufanyie mandingo au kama unaona huna cha kusema shut u r g''dam''ass

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...