katika sehemu ya vip toka shoto ni bosi wa nssf dk. ramadhani dau, kamanda wa kanda maalumu ya kipolisi ya dar afande selemani kova, rais wa tff sir leodegar tenga, mkuu wa wilaya ya ilala mh. patrick tsere na maofisa wa ubalozi wa ghana nchini
benchi la taifa stars
benchi la black stars ya ghana. naam... hujakosea. wa pili kulia ni micho aliyekuwa kocha wa yanga sasa ni msaidizi wa kocha wa ghana

taifa stars
black stars



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Huo ndio uwanja mpya?mbona naona kama hao wa taifa star wamekalia mamchanga ndio itakavyokua hivyo, bado uko matengezoni au ndio wameshakabidhiwa liuwanja hivyo?Mbona zikinyesha mvua za Dar huo mchanga utakua patashika nguo kuchanika?

    Wachina mbona bed nest lqo wamejenga la kukomesha?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...