Home
Unlabelled
pinda akijibu maswali ya papo kwa papo bungeni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Master YODA. Jamaa anajitahidi kujieleza.
ReplyDeleteTUNATAKA MAELEZO YA UKWELI KUHUSU ZANZIBAR,SISI BARA TUMECHOKA NA HUU MUUNGANO TATIZO NI ZANZIBAR PINDA TUPE UKWELI,TATIZO LA KUWA NCHI AU SII NCHI,HALISAIDII ZANZIBAR NI KAMA WILAYA TU HAIFAI HATA KUWA MKOA.WANALALAMIKA KILA KITU MUUNGANO NDIO UNAOLIPA KILA KITU KWA ZANZIBAR,TUMALIZANE NAO SISI BARA TUENDELEE KUITWA JAMHURI YA MUUNGANO TANZANIA WAO WAITWE JAMHURI YA ZANZIBAR SIONI KWA NINI??? UKWELI HAULETWI HADHARANI WATU WAKAJADILI
ReplyDeletezanzibar ni koloni la bara, we hujuiiii????
ReplyDeletemie sioni umuhimu wa zanzibar tuachane nao basi wao wakauze karafuu na sisi na madini yetu
ReplyDeletehawa jamaa zanzibar walitusaidia sana wakati wana mapesa ya karafuu, nasikia hata mtaji wa Benki Kuu walichangia. Sasa karafuu zimekwisha ni bora tuwaachie wakitoe... au wana mafuta tena ??
ReplyDeletehapendwi mtuu hapa , pochi tuuu....
Mimi namkubali muheshimiwa Pinda ni kiongozi ambaye yupo makini na kazi yake.
ReplyDeleteUnajua wazanzibar ambao hawana vitega uchumi na hawana majumba Bara ndio wanataka muungano uishe
ila wale waliojijenga wenyewe wanataka muungano uendelee.
Sie wa bara tupo tumetulie kwanza hao wazanzibar ni wabaguzi sana huko kwao.