Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu Maswali ya Wabunge Bungeni Mjini Dodoma, leo, katika utaratibu wake aliojiwekea wa kujibu maswali papo kwa papo kila alhamisi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Master YODA. Jamaa anajitahidi kujieleza.

    ReplyDelete
  2. TUNATAKA MAELEZO YA UKWELI KUHUSU ZANZIBAR,SISI BARA TUMECHOKA NA HUU MUUNGANO TATIZO NI ZANZIBAR PINDA TUPE UKWELI,TATIZO LA KUWA NCHI AU SII NCHI,HALISAIDII ZANZIBAR NI KAMA WILAYA TU HAIFAI HATA KUWA MKOA.WANALALAMIKA KILA KITU MUUNGANO NDIO UNAOLIPA KILA KITU KWA ZANZIBAR,TUMALIZANE NAO SISI BARA TUENDELEE KUITWA JAMHURI YA MUUNGANO TANZANIA WAO WAITWE JAMHURI YA ZANZIBAR SIONI KWA NINI??? UKWELI HAULETWI HADHARANI WATU WAKAJADILI

    ReplyDelete
  3. zanzibar ni koloni la bara, we hujuiiii????

    ReplyDelete
  4. mie sioni umuhimu wa zanzibar tuachane nao basi wao wakauze karafuu na sisi na madini yetu

    ReplyDelete
  5. hawa jamaa zanzibar walitusaidia sana wakati wana mapesa ya karafuu, nasikia hata mtaji wa Benki Kuu walichangia. Sasa karafuu zimekwisha ni bora tuwaachie wakitoe... au wana mafuta tena ??

    hapendwi mtuu hapa , pochi tuuu....

    ReplyDelete
  6. Mimi namkubali muheshimiwa Pinda ni kiongozi ambaye yupo makini na kazi yake.

    Unajua wazanzibar ambao hawana vitega uchumi na hawana majumba Bara ndio wanataka muungano uishe
    ila wale waliojijenga wenyewe wanataka muungano uendelee.
    Sie wa bara tupo tumetulie kwanza hao wazanzibar ni wabaguzi sana huko kwao.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...