



Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
halo halooooo, wamefanana kama mapacha.
ReplyDeletesi mchezo. yaani huyo Ridhwanina jakaya ka mtu na mdogo wake.
kila la kherikatika ndoa yenu
Mashaallah!wamependeza jamani duuu!mke mzuri mno!Hongereni Mr & Mrs R.Kikwete mwende mkatuzalie President wa 2050 lazimi amrithi babu jamani
ReplyDeleteHongereni maharusi na mungu awajalieni maisha marefu na yenye faraja.
ReplyDeleteBro Michuzi je ulialikwa kwenye shaba au wemekupa picha uposti wakati wengine ndio wamekaa mkao wa kula
No comment!
ReplyDeletewadau mbona ham-comment? au mnaogopa mkono mrefu wa serikali
ReplyDeleteARAFA?,
ReplyDelete-BooSt3D.
Congratulation kwa kweli bibi Arusi ni mzuri sana na mpendeza sana. baba na mwana wamefanana utafikiri mapacha
ReplyDeletemmmh bi harusi mashallah kapendeza jamani,bi harusi mwaaaa
ReplyDeletehongera arafa... hongera sana jangawani school mate.
ReplyDeletewow..wanameremeta wanameremetaaaa
ReplyDeleteHongereni sana wow, Riz hujanialika ..ila na watakia maisha bomba ya furaha, i guarantee you kesho na zamia mnusoni (sitanii) ,ila Bibi harusi ni mzuri zaidi akitoa hizo wanja na poda, wamemzidishia sana !
ReplyDeleteYeah at last dogo R umeamua kutulia maana ile X5 ilikuwa haina abiria mtaani. All the best R, mkeo anang'aa sana na vile wote mmesoma naona hakuna ujinga next generation. Mdau Chalinze
ReplyDeletetunaogopa comment maana ile hotuba ya juzi imetutisha,anaweza sema kamata huyoi mdau mweke ndani!!!
ReplyDeleteBi harusi Bi Arafa ni mzuri, ila wamezidisha kumremba mno mpaka kakosa uasili wake. Pili, tunashukuru ya kuwa Rais wetu kijana atapata kuwa babu sasa hivi. Hongera dogo Ridh.
ReplyDeleteWajameni, anonymous wa 12:53, hana uoga, haya, wanamawenge wanihii walisema "AVOX POPULI, VOX ADAY" mwisho wa kunukuu. Wakiwa na maana "penye mkusanyiko wa watu na mungu yupo. Saasa, kwenye KABLOG ketu ka jamii ni mkusanyiko wa watu wa kada mbalimbali, kumsengenya rais wetu maana yake nini?? Kuwa babu hoja. Kama hamna comments msitujaziage bure.
ReplyDeleteKwa mtaji huu, Ukuu wa Wilaya upo mbioni kuupata mwanewane.
ReplyDeletehongera sana arafa, kila la kheri mamaaa, ndugu zako wa india
ReplyDeleteu guys luk good 2getha....always.....
ReplyDeleteALLAH bless u guys n ur marriage....