rhidiwani jakaya kikwete akiwa na mai waifu wake mara baada ya kufunga ndoa leo ukumbi wa ubungo plaza, dar. maharusi wote ni wanasheria na wanafanya kazi dar
JK akimpongeza mkwewe bi arafa mohamed mara baada ya kufunga ndoa na ridhiwani leo
JK na mama salma kikwete wakiwapongeza maharusi
baba na mwana wakifurahia wakati wa harusi iliyofanyika ukumbi wa ubungo plaza, dar, leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. halo halooooo, wamefanana kama mapacha.

    si mchezo. yaani huyo Ridhwanina jakaya ka mtu na mdogo wake.

    kila la kherikatika ndoa yenu

    ReplyDelete
  2. Mashaallah!wamependeza jamani duuu!mke mzuri mno!Hongereni Mr & Mrs R.Kikwete mwende mkatuzalie President wa 2050 lazimi amrithi babu jamani

    ReplyDelete
  3. Hongereni maharusi na mungu awajalieni maisha marefu na yenye faraja.
    Bro Michuzi je ulialikwa kwenye shaba au wemekupa picha uposti wakati wengine ndio wamekaa mkao wa kula

    ReplyDelete
  4. No comment!

    ReplyDelete
  5. wadau mbona ham-comment? au mnaogopa mkono mrefu wa serikali

    ReplyDelete
  6. ARAFA?,

    -BooSt3D.

    ReplyDelete
  7. Congratulation kwa kweli bibi Arusi ni mzuri sana na mpendeza sana. baba na mwana wamefanana utafikiri mapacha

    ReplyDelete
  8. mmmh bi harusi mashallah kapendeza jamani,bi harusi mwaaaa

    ReplyDelete
  9. hongera arafa... hongera sana jangawani school mate.

    ReplyDelete
  10. wow..wanameremeta wanameremetaaaa

    ReplyDelete
  11. Hongereni sana wow, Riz hujanialika ..ila na watakia maisha bomba ya furaha, i guarantee you kesho na zamia mnusoni (sitanii) ,ila Bibi harusi ni mzuri zaidi akitoa hizo wanja na poda, wamemzidishia sana !

    ReplyDelete
  12. Yeah at last dogo R umeamua kutulia maana ile X5 ilikuwa haina abiria mtaani. All the best R, mkeo anang'aa sana na vile wote mmesoma naona hakuna ujinga next generation. Mdau Chalinze

    ReplyDelete
  13. tunaogopa comment maana ile hotuba ya juzi imetutisha,anaweza sema kamata huyoi mdau mweke ndani!!!

    ReplyDelete
  14. Bi harusi Bi Arafa ni mzuri, ila wamezidisha kumremba mno mpaka kakosa uasili wake. Pili, tunashukuru ya kuwa Rais wetu kijana atapata kuwa babu sasa hivi. Hongera dogo Ridh.

    ReplyDelete
  15. Wajameni, anonymous wa 12:53, hana uoga, haya, wanamawenge wanihii walisema "AVOX POPULI, VOX ADAY" mwisho wa kunukuu. Wakiwa na maana "penye mkusanyiko wa watu na mungu yupo. Saasa, kwenye KABLOG ketu ka jamii ni mkusanyiko wa watu wa kada mbalimbali, kumsengenya rais wetu maana yake nini?? Kuwa babu hoja. Kama hamna comments msitujaziage bure.

    ReplyDelete
  16. Kwa mtaji huu, Ukuu wa Wilaya upo mbioni kuupata mwanewane.

    ReplyDelete
  17. hongera sana arafa, kila la kheri mamaaa, ndugu zako wa india

    ReplyDelete
  18. u guys luk good 2getha....always.....
    ALLAH bless u guys n ur marriage....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...