Nimefika salama, ila kwa wale ambao nilishindwa kuwajulisha kwa e-mails, sorry for that, hii ni kwa sababu nipo ktk orientation hapa Stanford University, San Franscisco (California). Lakini orientation inaisha leo usiku, kesho ndio naenda jimboni kwangu West Virginia at Marshall University kuanza jukumu la kufundisha.
Nimeweka picha ktk special blog. Naomba ufungue blog hii
uweze kuona ninavyoendelea.
Nashukuru nyote kwa misaada yenu, huku nimeanza kuwakimbiza, nyota yangu inang'ara.Hii ni kwa sababu ya ushauri wako umechangia kwa kiasi kikubwa.Napenda kutoa shukrani zangu za dhati. Ukifungua blog hiyo, ikifika chini kabisa, just click at OLDER POSTS to see some pics please.
Kwa wale mliopo ktk faceboo, nimeweka picha huko ktk Photo albums tatu, just open my profile and see FULBRIGHT FLTAs albums, u'll see lots of pics please.
Michakato ktk blog yenyewe ya
itaendelea kuwepo wiki ijayo, mambo yakishaenda sawa.
Mungu akubariki.
MAKULILO Jr,
Makulilo kama bado uko Cal yuko jamaa mmoja msambaa pale UCAL Berkeley, kama unataka kuwasiliana na watanzania wenzako
ReplyDeleteWe bwana inaonekana hukutegemea kuenda States. Achana na ushamba wa kujitundika bendera ya Tanzania, who cares kwamba wewe mbongo?? People are so busy paying bills they dont give a knuckle about Tanzania.
ReplyDeleteKuku mgeni hakosi kamba mguuni duh hiyo bendera kila kona!! punguza moto kijana tulia na kufikiria. Hiyo FLTA bila ujanja wa kuishi States utashangaa hivyo vipesa vya akina Monk vinaisha hata week mbili hazijaisha.Kafundishe hao wazungu ila utafute shule usirejeshe kichwa kitupu Bongo, hunijui na sikujui ila usisahau haya maoni yangu.usisahau Mafundisho ya Anti Diana Calvaho!!! ni mimi senia FLTA
ReplyDeleteWewe bro makulillo inabidi utulize ball, this is america na unavyoonyesha hata unakotokea wewe hukuwa mjanja maana hata nguo kwenye blog yako unavaa mbele nyuma na nyuma mbele, hiyo top yako inaitwa under armour kwa ushamba wako umei flip.. u have a long way to go ma man.
ReplyDeleteMzee Ntamakulilo, kwenda nje siyo "prevelege" ni "right" ya kila mtu, ni sawa na kusafiri kutoka Kigoma kwenda Tanga au kokote duniani...na si watanzania wote tunaovaa kanga au vitenge...hukutumwa "chicken or kitchen part", fanya mambo yaliyokupeleka achana na ushamba, huko watu wengine wanafikiria maisha na siyo ubishoo.
ReplyDeleteHongera kuuona mwezi.
Mungu akujalie na nakuomba U "focus" kwa yaliyo kupeleka huko kwani hata Pinda havai hivyo vitenge, sijui khanga na body armour yako hiyo...husikiii joto??
Ndimi Kalumanzira a.k.a Kabwela
HAYO NDIYO MAMBO YA SAN FRANSISCO NINI? HUO MKONO MBONA UMEUPITISHA NYUMA YA MAKALIO YA HUYO MTHUNGU....
ReplyDeleteHUKO SAN FAN FRANSISCO HATA ZENJI NA MOMBASA HAWAONI NDANI...JUST FYI
Kweli San Fransisco is so friendly,utafikiri huyu mzungu alikua anasubiri huyu chalii aanze kumfanyia yale mambo yao ya man to man woman to woman.Borat(sasha Cohen)Alizuka D.C akafikiri wanaume are so friendly kumbe jamaa zina mmendea sasa kazi kwako kijana,San Fransisco people are so friendly ila siku ya siku unakipandia kibabu cha kizungu ndo utajua kweli hii sio dili
ReplyDelete