hapa nimetumia lenzi yenye upana wa milimita 16 na kamera ya canon d200 nikiwa nimeseimama umbali wa mita 15 toka kwenye sanamu na kuipata kiivyo hii picha ya sanamu ya mwalimu kwenye bustani ya jiji la dodoma leo. unapojaribu kupata picha kama hii lazima uwe ba lensi pana na pia mbingu ama ukanda wa nyuma uwe mtupu kama mbingu zinavyoonekanawadau wanaopenda libeneke la picha uwanja wenu huu kuleta picha na mijadala


aaah hapa Mkuu umenikumbusha mwaka jana wakati nafanya kazi Dodoma. I usually don't like early bbreakfasts so nilikuwa nawahi ofisini, so that I can take a break sometime in mid-morning na kwenda hapo square or wimpy kupata supu na chapati for b'fast kidogo. Salamu kwa wadau wa LAPF na kwa wakazi wa Nkuhungu!! Endeleza libeneke.
ReplyDelete