hapa nimetumia lenzi yenye upana wa milimita 16 na kamera ya canon d200 nikiwa nimeseimama umbali wa mita 15 toka kwenye sanamu na kuipata kiivyo hii picha ya sanamu ya mwalimu kwenye bustani ya jiji la dodoma leo. unapojaribu kupata picha kama hii lazima uwe ba lensi pana na pia mbingu ama ukanda wa nyuma uwe mtupu kama mbingu zinavyoonekana
wadau wanaopenda libeneke la picha uwanja wenu huu kuleta picha na mijadala

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. aaah hapa Mkuu umenikumbusha mwaka jana wakati nafanya kazi Dodoma. I usually don't like early bbreakfasts so nilikuwa nawahi ofisini, so that I can take a break sometime in mid-morning na kwenda hapo square or wimpy kupata supu na chapati for b'fast kidogo. Salamu kwa wadau wa LAPF na kwa wakazi wa Nkuhungu!! Endeleza libeneke.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...