wananchi wa dodoma wakiandamana leo kuunga mkono spichi ya JK aliyoitoa bungeni majuzi.
nenda www.dailynews-tsn.com uone video za maandamano hayo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. huu ushabiki ushabiki hautatupeleka kokote....

    ReplyDelete
  2. Tanzania sijui tunaelekea wapi maana kwa hali hii cjui.
    au ni kwakuwa idadi ya walio enda shule ni kidogo au ni kwakuwa sisi ni watu wa kukurupuka bila kujadili na kujua faida na hasara ya jambo,
    maana sisi kila siku ni ushabiki tuuuuu kwa kila jambo.Sikio la kufa bwana hata dawa halisikiagi?
    NO RESEARCH NO RIGHT TO TALK.

    ReplyDelete
  3. MMESHA KUNYWA BIA ZA PROMOSHEN YA Chama Cha Mrisho... WAANGALIE, "MANICHEFUA"

    ReplyDelete
  4. Hao ni ni wanachi au wakereketwa wa CCM? Kama Slaa anayosema kwanini hawakuandamana wakati ilipobainika ule ufisadi wa EPA
    Hawa wakereketwa ndio wataipeleka nchi yetu kubaya

    ReplyDelete
  5. Wewe Michuzi kweli umekunywa maji ya bendera, juzi eti wasema unasema vekesheni Dodoma kumbe ulienda kurekodi wakereketwa wa CCM??

    Wako wapi wanaoandamana mbali ya wana CCM wa baadhi ya vituo vya CCM
    Kama kweli kulinganisha na watu wote wanaoishi Dodoma hao ndio waliohukuja kwenye maandamano basi bwana Michuzi kaa chonjo kwamba chama hakina wenyewe sasa.
    Yaani hao waandamanaji unaweza hata kuwahesabu LOL

    ReplyDelete
  6. hawa ni wananchi wa dodoma au baadhi ya wanaccm wa dodoma? na hizo yunifomu tuseme ni vazi la taifa au? mbona mwatuchanganya?!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...