nenda www.dailynews-tsn.com uone video za maandamano hayo
Home
Unlabelled
spichi ya JK bungeni yaungwa mkono dodoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
huu ushabiki ushabiki hautatupeleka kokote....
ReplyDeleteTanzania sijui tunaelekea wapi maana kwa hali hii cjui.
ReplyDeleteau ni kwakuwa idadi ya walio enda shule ni kidogo au ni kwakuwa sisi ni watu wa kukurupuka bila kujadili na kujua faida na hasara ya jambo,
maana sisi kila siku ni ushabiki tuuuuu kwa kila jambo.Sikio la kufa bwana hata dawa halisikiagi?
NO RESEARCH NO RIGHT TO TALK.
MMESHA KUNYWA BIA ZA PROMOSHEN YA Chama Cha Mrisho... WAANGALIE, "MANICHEFUA"
ReplyDeleteHao ni ni wanachi au wakereketwa wa CCM? Kama Slaa anayosema kwanini hawakuandamana wakati ilipobainika ule ufisadi wa EPA
ReplyDeleteHawa wakereketwa ndio wataipeleka nchi yetu kubaya
Wewe Michuzi kweli umekunywa maji ya bendera, juzi eti wasema unasema vekesheni Dodoma kumbe ulienda kurekodi wakereketwa wa CCM??
ReplyDeleteWako wapi wanaoandamana mbali ya wana CCM wa baadhi ya vituo vya CCM
Kama kweli kulinganisha na watu wote wanaoishi Dodoma hao ndio waliohukuja kwenye maandamano basi bwana Michuzi kaa chonjo kwamba chama hakina wenyewe sasa.
Yaani hao waandamanaji unaweza hata kuwahesabu LOL
hawa ni wananchi wa dodoma au baadhi ya wanaccm wa dodoma? na hizo yunifomu tuseme ni vazi la taifa au? mbona mwatuchanganya?!
ReplyDelete