Bosi wa masoko wa Vodacom akimkabidhi rasmi zawadi ya gari kwa mrembo wa Vodacom Miss Tanzania 2008 Nasreem Kalim .Gari hilo jipya aina ya Suzuki Garnd Vitara lina thamani ya sh Millioni 42 limekabidhiwa kwa mrembo huyo aliyenyakua taji hilo mwaka huu



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Gari ndo hilo. Petroli je?

    ReplyDelete
  2. Wow! mbona hilo gari ni ghali hivyo? limekuja na nini? Ni solar power au walipata dealer akawakwangua? Manake Brand new msrp ni $19500 plus tax na kuliingiza bongo lina kuwa double the price. Hapo bandarini sio mchezo basi kwa magari mapya.....gari hiyo million 42? It is a joke

    ReplyDelete
  3. We anony wa 1:21AM, inaelekea hujui bei za magari mapya hapa Bongo. Kwa taarif yako hiyo Suzuki Vitara ni moja ya 4x4 ndogo zenye bei ya chini (42million maana yake ni manual with basic finishes0. Hivi unafahamu magari mengine kama Rav4 automatic yanafika 64million? Hizo ndio bei za showroom kama DT Nanii na Toyota. We acha wahindi wafaidi nchi yetu, sisi tumelala na inabidi tuibe ili tuendesha hayo magari. Yaani, inasikitisha. Na sielewi kwanini serekali inafumbia macho huu ulanguzi wa magari. Yani hawataki hata kujiuliza hizi pesa zote watu wanazipata wapi???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...