mwigizaji mchekeshaji na mwanamuziki will smith na mai waifu wake jada pinckett smith wametua dar kinyemela na mchana huu wameelekea kula vekesheni huko zenji. michuzijr.blogspot.com alikuwepo hoteli ya kempinski kilimanjaro na kuwabamba wakielekea kupanda gari lililowapeleka uwanja wa ndege wa eapoti ya julius nyerere. habari zinasema will smith alimuulizia lady jd na baada ya kumkosa kwa kuwa alikuwa studio akirekodi albamu yake mpya, akaacha maagizo kuwa bibie huyo afanye juu chini waonane akirejea toka zenj...
will smith na mai waifu wake wakiondoka kempinski tayari kwa safari ya zenj leo mchana. ukitaka kujua mengi juu ya huyu mdau bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Mapaparazi wa Unguja haya tupeni picha nzuri

    ReplyDelete
  2. This guy in an interview in UK earlier this year had mentioned that he would indeed take a vacation "somewhere" in Africa.
    Jamaa hajachukua holiday kwa muda wa miaka 7 kwa kuwa vere bizee na kazi zake za kisanii na sinema.
    He is always scared and has a phobia of going bankrupt again like he did when he was a rapper in the 90's hence his hard work ethic.

    Mtu mzuri sana huyu. He has a clean heart wala hajioni kama yeye ni supastar. He treats everyone equal.

    ReplyDelete
  3. jaman kijada pinket kifupi kama kitoto mwe jaman

    ReplyDelete
  4. Umbeya wa State wanasema Kwamba Jada Pinket ana Mimba kama kweli mwenyezimungu awajalie wapate mtoto mwenye afya na azidi kuwapa nguvu ya kuwa mfano kwa wengine vipi mke na mume wanatakiwa kuishi tuwape pumzi wapumzike vizuri, Issa Michuzi usipige Flash sana usiwaumize macho waache wapumzike ZNZ huko. Inshallah Lady jay dee aiembe na will smith pesa wasaidie watoto wa mitaani na Foster home.

    ReplyDelete
  5. Mmeona mzungu anapomtumikia mweusi. Wazungu wanajua sana kunusa pesa, hapo huyo bodyguard mzungu humwambii kitu

    ReplyDelete
  6. Haya wadau waliokuwa na roho ya korosho mwanzo mkasema kwamba lady jd aliangaika mpaka akapata nafasi ya kupiga picha na will smith kama mtu mwingine. sasa kauliziwa kazi kwenu tena mwageni wivu mpaka mkauke damu.
    Tatizo liko wapi kwani akiuliziwa? wewe pia kama unajichanganya ungeuliziwa sio big deal nyie modern wachawi.lol

    ReplyDelete
  7. Hapa deal ni kwamba huku majuu tuliwaaingiza mjini hawa wanugu kwamba Obama anatokea Bongo! Mechi droo mbona wao walisem Kilimanjaro iko kwao? So endeleeni kufaidi mpaka watakapotushtukia

    ReplyDelete
  8. Na inasemekana hao wana "open relationship" yani will anaweza kulala na mwanamke yeyote anayetaka nje na jada anaweza kulala na mwanamme yeyote anayetaka nje.

    ReplyDelete
  9. MDAU WA 2 HAPO JUU SI LAZIMA UTUMIE KIINGEREZA KATIKA KUTOA MAONI. KAMA KIINGEREZA HAKIPANDI KISWAHILI NI POA TU. HIYO LUGHA ULIYOTUMIA HAPO INATIA KICHEFUCHEFU. NI VYEMA UONGEZE JUHUDI NA MAARIFA KATIKA LUGHA

    ReplyDelete
  10. nawapenda sana hawa wawili wanapendeza sana esp, kwenye kale kasinema kao ka zamanai PINKET ALIPOKUWA HOUSE KEEPING. zile judo zake acha tu

    ReplyDelete
  11. nadhani mkutano wa Sullivan pia ulitutangaza sana....i hope services wanazopata zitawafanya waje tena na tena...maanake tukiharibu kwenye services....basi tutawapoteza wengine wengi tu.

    ReplyDelete
  12. Anon was Aug 27 8:07AM. Kingereza na kiswahili zote zinapanda.

    You are trying to insinuate that i dont have a clear understanding of the english language.
    I can choose to reply in english or kiswahili or even my mother tongue. Common sense dictates that i dont use the latter.

    Kama unaona juhudi na maarifa katika chaguo langu la lugha was not upto your standard, basi nakupa pole sana.

    No wonder Tz is always lagging behind because of people who think like you. English is a universal language. I dont see what the big deal is.
    This blog is viewed worldwide by people of different races and cultures.
    It does not state anywhere that it is specifically for Tanzanian people neither does it matter in what language i choose to reply in.

    ReplyDelete
  13. Michuzi mbona umezubaa sana kwenye kazi yako,mimi binafsi naona tz pesa ziko njenje sana, watu kama hao picha moja tu ukiuza kwa mapaparazi ulaya umetajirika inabidi utafute magazeti yanayo penda story za hao watu, maana wenzio majuu nidili sana. sasa hamka basi, wenzio wanadili na nyuzi kama hizo sio picha na habari za ccm zisizokuwa na msingi yani watu kama ukiwa mjanja ulali na njaa . haya kazi kwako, michu changamka.mdau uk

    ReplyDelete
  14. DuuuH! Michuzi for the first time sikuoni na the fulanazzz unamdandia dandia Will Smith! Maana Dar Hatuna dogo! kina nanihii walivyo kuja ulikuwa busy kalibu sana na mikono umewawekea kiunoni na wengine mabegani sasa huyu bwana amekuja unatuwekea picha tuuuuu! EEEhh Kaka MICHUZI ama mi bouncer ilikuwa inakataa MIKONOZZZ nini ama Will ni mrefu sana? Ok basi hongereni kwa ugeni huu mzito!

    ReplyDelete
  15. For Anoy 08:07 AM
    Anoy Who said the second guy who posted comments does not know English and he feels like vomiting! let me tell you this you are not english professor and you forgot there is this say "If you try there is no guarantee of success but if you don`t there is guarantee of failure" so this guy tried to write something in English but you who think know much didn`t, so me too feel like vomit for your stupid comment!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...