Bro Michuz,
Hii hapa kazi nyengine ya VOA (Sauti ya America). Wadau wenye sifa wasilaze damu.Hii lakini posho lake dogo ukilinganisha na ile ya kwanza.
Kila la Kheri
Mdau USA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. MICHUZI ILE WEB YAKO INGINE YA MATATIZO MBONA INAFUNGUKA SIKU HIZI BILA MATATIZO.

    ReplyDelete
  2. hawa wasanii wanawinda dada zetu hamna kazi yeyote

    ReplyDelete
  3. Si juzi alikuwa huko tu tena jamanai

    Hizo hela za mafuta ya ndege yanalipwa na UN sasa hivi..I am sure the last time it was on us.....anakupenda sana USA...juzi alikua anaangalia basketball DC leo yupo NY

    ReplyDelete
  4. kila mtu ana nia yake ya kuwa kiongozi ukiipata lazima uitimize. mwachen mzee afanye kazi jamani. lazima akae karibu na wenye dunia sasa akishinda tatahimba nanni ataleta mradi wa fast metro rail tunawatumikieni kwa dhat achaneni na umbea wa wauza magazeti hawana jipya.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...