Bro Michuz,
Hii hapa kazi nyengine ya VOA (Sauti ya America). Wadau wenye sifa wasilaze damu.Hii lakini posho lake dogo ukilinganisha na ile ya kwanza.
Hii hapa kazi nyengine ya VOA (Sauti ya America). Wadau wenye sifa wasilaze damu.Hii lakini posho lake dogo ukilinganisha na ile ya kwanza.
waambie wadau wabofye:
International Broadcaster (Non-English Languages)
International Broadcaster (Non-English Languages)
Kila la Kheri
Mdau USA

MICHUZI ILE WEB YAKO INGINE YA MATATIZO MBONA INAFUNGUKA SIKU HIZI BILA MATATIZO.
ReplyDeletehawa wasanii wanawinda dada zetu hamna kazi yeyote
ReplyDeleteSi juzi alikuwa huko tu tena jamanai
ReplyDeleteHizo hela za mafuta ya ndege yanalipwa na UN sasa hivi..I am sure the last time it was on us.....anakupenda sana USA...juzi alikua anaangalia basketball DC leo yupo NY
kila mtu ana nia yake ya kuwa kiongozi ukiipata lazima uitimize. mwachen mzee afanye kazi jamani. lazima akae karibu na wenye dunia sasa akishinda tatahimba nanni ataleta mradi wa fast metro rail tunawatumikieni kwa dhat achaneni na umbea wa wauza magazeti hawana jipya.
ReplyDelete