JIPATIE DU RAG HALISI KWA BEI POA...
WAHI, ZIKO 5 TU
Kwa maelezo zaidi piga
0754-270702
au tuma email kwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. hebu acheni bangi zenu.

    ReplyDelete
  2. HAPO KUNA RANGI ZAIDI YA TANO WEWE UNAZO TANO, HIVYO RANGI NINAYOHITAJI WEWE HAUNA, KWAHERI.

    ReplyDelete
  3. mimi mbona sielewi jamani, nini hiki? naona picha tu na makofia ya rangi tofauti.

    ReplyDelete
  4. nafikiri zitakuwa zimeisha , nilitaka kumi tu...SOREEEE. Next time jifunze jinsi ya kutangaza bidhaa zako za ujinga

    ReplyDelete
  5. ha ha ha ha hii kali au njaa sijui niiteje.yani durag zinauzwa dola moja moja tu na kama ungeenda kuchukua mzigo N.y UNGEUZIWA 50 CENT KWA MOJA.sasa mzigo wa bei rahisi kama huo umeisha kweli ndio unazitangaza 5? ha ha ha kweli wabongo sisi tuna utani au ulienda nazo kutanulia matokeo yake unataka kurudisha hela yako?

    ReplyDelete
  6. hivi niulize vijana wote waliosoma. Hichi nini kimevaliwa kichwani.
    Yoyote anayevaa huu upuzi akili zake zitakuwa zinafanana na hiyo stocking.
    Na mwanamke yeyeyote ambaye anadate mtu amevaa huu uchafu akili zake zitakuwa zimejaa pumba.
    Find something else to insipire people.
    Lady of serenity.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...