Baadhi ya viongozi wa ngazi ya juu wa Zain Tanzania wakifuturu wakati wa hafla futari iliyoandaliwa na Zain kwa wafanyakazi wake Dar
Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Zain Kanda ya Afrika Mashariki, Bashar Arafeh (kushoto) akisalimiana na Meneja Masoko wa Zain Tanzania, Kelvin Twisa wakati wa hafla ya kufuturu iliyoandaliwa na Zain kwa wafanyakazi wake, Dar
Ofisa Mkuu wa Fedha wa Zain Tanzania, Heiko Schlittke (kulia), akipatiwa futari wakati wa hafla ya kufuturu iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa wafanyakazi wake
Baadhi ya wafanyakazi wa Zain Tanzania wakipatiwa futari wakati wa hafla hiyo ya kufuturu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. oyaa jibaba hata kama ndio ubalozi wa zain sio hivyo tena, kila kukicha stori za ZAIN tu, weka na za wengine basi.

    ReplyDelete
  2. Kufuturu wamefunga? Maana mtu kala kutwa nzima halafu ikifika jioni eti nayeye anafuturu (breakfast) au tumeseme wengine wameenda kula chajio wengine ndio wanapata iftar.

    ReplyDelete
  3. Msitufumbe macho kwa kujifanya waumini sana, ati mnafuturisha!!! Jamani!! kama kweli nyie ni waislamu sana mngepunguza gharama za simu kwa mwezi wote huu mtukufu.

    ReplyDelete
  4. eeh jamani mara mwisho naangalia tv Kelvi Twissa alikuwa Tigo mara leo naona zain, kulikoni?
    au ndo mambo ya mkwanja mwingi!!
    Dada lao, just curious to know

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...