muziki safi wakati wa kufuturu jijini khartoum ambako nako zain inatesa ile mbaya
sharbati ya kisudan acha!
ukienda kununua kilemba cha kisudan shurti uoneshwe namna ya kukifunga
la sivyo utachekesha kama nilivyojaribu kufunga mwenyewe tehe tehe tehe.....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Umefanana na janjaweed kama ulivyowahi kuitwa na mwanablog mmoja hivi karibuni.

    ReplyDelete
  2. kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee michu kwa kupenda kula???mboni unaonekana kobe-kobe ivi??
    aisee mzee kwa safari kama Kikwete?ba'mdogo wako nini
    ila kaka unalipa ile kinoma,,,nimekupenda saaaana tu afu hobby zetu zafanana 'trips kwa sana'teh teh
    ila ivo vibandiko mh taratibu,,tutakimbia hii blogu,,toka nione ya bomu la Marriot hotel Pakistan??tena ramadhan km hii??sina hamu

    ReplyDelete
  3. mh Zain ya waarabu wa Sudan nini??au??
    afu inji hii Tz,waarabu VS wamarekani,,,awa wawekeza huku uyu mwingine amwaga vijisent-donors

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...