Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara Haji Kachechele (kushoto) akipokea mfano wa hundi ya shilingi milioni moja kutoka kwa Meneja wa Kitengo cha Makontena wa Kampuni ya kupakia na kupakua mizigo bandarini (Ticts) Donald Talawa (kulia) kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa Shule ya Sekondari Kiuta iliyopo wilaya ya Newala mkoani Mtwara mwishoni mwa wiki.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Huyo Chifu pembeni mbona anafanana na Michu? h eh eheh hehehe :)

    ReplyDelete
  2. TICTS are u serious wit what uar doing? one million???what kind of publicity is that? mnaingiza millioni ngapi kwa siku? najua ni msaada na msaada ni chochote but nikilinganisha na kiasi kinachoingia pale per hour...hiyo mil moja is nothing nasema hivyo kwasababu nafanyakazi kwenye shipping line na naelewa ni cheque za kiasi gani huwa tunaandaa per day kulipia pale TICS. Kama mnaamua kusaidia as a company jitahidini kulinda hadhi ya kampuni, angalieni wenzenu like Zain,Vodacom etc wanavyofanya otherwise ........lol

    ReplyDelete
  3. kutoa ni moyo.....usambe...si utajiri!

    lakini Ticts toeni na mikoa mengine sio tu kwa wakwe wa prezdenti!

    ReplyDelete
  4. THIS IS A DAY LIGHT JOKE....YAANI KAMPUNI INATOA $863 NA INAITA NA WAANDISHI WA HABARI WAPIGE NA PICHA KABISA?? MICHUZI NA WEWE TOA HII TAKATAKA KWENYE BLOGU YETU YA JAMII....HII NI KUIDHALILISHA JAMII KABISA..

    ReplyDelete
  5. Dar Line Don Talawa remember KOLILA kwa mzeee MAKABABU keep it Mr Don

    ReplyDelete
  6. waziri mkuu kasema swala lile lile ambalo nilishasema


    misaada isiwe tu....pwani,lindi,bwagamoyo,rukwa na chalinze!!

    http://www.ippmedia.com/ipp/radio1/2008/09/18/122863.html

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...