Home
Unlabelled
ticts yaipiga taffu shule ya newala
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyo Chifu pembeni mbona anafanana na Michu? h eh eheh hehehe :)
ReplyDeleteTICTS are u serious wit what uar doing? one million???what kind of publicity is that? mnaingiza millioni ngapi kwa siku? najua ni msaada na msaada ni chochote but nikilinganisha na kiasi kinachoingia pale per hour...hiyo mil moja is nothing nasema hivyo kwasababu nafanyakazi kwenye shipping line na naelewa ni cheque za kiasi gani huwa tunaandaa per day kulipia pale TICS. Kama mnaamua kusaidia as a company jitahidini kulinda hadhi ya kampuni, angalieni wenzenu like Zain,Vodacom etc wanavyofanya otherwise ........lol
ReplyDeletekutoa ni moyo.....usambe...si utajiri!
ReplyDeletelakini Ticts toeni na mikoa mengine sio tu kwa wakwe wa prezdenti!
THIS IS A DAY LIGHT JOKE....YAANI KAMPUNI INATOA $863 NA INAITA NA WAANDISHI WA HABARI WAPIGE NA PICHA KABISA?? MICHUZI NA WEWE TOA HII TAKATAKA KWENYE BLOGU YETU YA JAMII....HII NI KUIDHALILISHA JAMII KABISA..
ReplyDeleteDar Line Don Talawa remember KOLILA kwa mzeee MAKABABU keep it Mr Don
ReplyDeletewaziri mkuu kasema swala lile lile ambalo nilishasema
ReplyDeletemisaada isiwe tu....pwani,lindi,bwagamoyo,rukwa na chalinze!!
http://www.ippmedia.com/ipp/radio1/2008/09/18/122863.html