Home
Unlabelled
wadau watuma salamu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi, I think time has come for you to retire that shirt aka the famous fulanaz. LOL!
ReplyDeleteShekh libeneke la mikonozzzz mpaka mwezi mtukufu? Mimi nilidhani umeenda likizo kwa muda kupisha mwezi wa toba upite!
ReplyDeleteHiyo fulana inabidi ukienda kwa Chemi ukawape zawadi wajomba zako (watoto wa Chemi) maana naona tangu upate Ubalozi haikufai tena, waachie vijana wadogo watese nayo labda wanaweza kubahatika kuwa ma-Ambassada wa Voda!
Swali wadau wenzaku? hili jina Bhoke watiku inaelekea yako mengi right? Maana nimesoma na watu wawili wana hili jina na huyu si kati ya hao niliosoma nao isipokuwa kama sura imebadilika maana ni kitambo kimepita.
ReplyDeleteHi Michuzi Naitwa Linda Naomba Number Ya Bhoke watiku Na Salam Zake Toka Kwa Theresia Tulisoma Pamoja Please anitumie Kupitia Email Yangu
ReplyDeletemissmengi@gmail.com
Michu imepanda hapo lakini????
ReplyDeleteannon 3.53am
ReplyDeleteunamanisha nini apo???