Home
Unlabelled
yanga na simba enzi hizo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hi Michuzi.
ReplyDeleteHiyo picha imenikumbusha mbali sana. Ahsante kwa kumbukumbu nzuri.
Sasa endapo timu ikasusia mechi kwa kuogopa kipigo na kusingizia mgao itakuwaje? TFF mna kazi kwelikweli. Sisi yetu macho na masikio.
Mdau wa Soka, Dar.
michuzi bwana unapenda kuuliza swali wakati jibu unalo inakuwaje? Yanga na Simba nani atashinda? Jibu = Simba. Simba hata akiwa mbovu vipi ila ni Simba jike hata akiwa hana njaa atamla tu Yanga kitoweo awape wanae Azam. Simba atampiga yanga 3-1 huo ndio utabiri then utahesabu waliopatia utabiri.
ReplyDeleteEnzi hizo unaona Uzi wa Simba huo unangara ukiushika hauchaniki unateleza mambo ya Puma hayo hahaaha Zamoyoni mogela kipindi hiko mie mdogo nikisikia the Champs najuwa simba ndio jina lao jengine the champs kumbe kiengereza hiko cha kusema mabingwa hahaaha raha sana.
ReplyDeleteHahahaa Yanga kumbe walikuwa na Sponsor hahaah Sponsor gani hao michuzi? Simba wana Puma ila Sponsor kiraka hahaha ila Simba ndio ilikuwa Timu ya kwanza kama mnakumbuka Kuwa na jezi yenye majina nyuma then Duwa Bin Said akaleta ushangiliaji wake wa kuiga ulaya kujilaza kwenye majani majani yetu makavu na chokoaa unachubuka raha sana kwetu tanzania.
ReplyDeleteKWANZA KABLA HATUJANUNUA TIKETI
ReplyDeleteTUNAOMBA TUHAKIKISHIWE TIMU ZOTE ZITAFIKA UWANJANI.
MI NISHAINGIA WOGA SIKATI TIKETI HADI NISIKIE MPIRA UMEANZA MAANA KUNA TIMU HAICHELEWI KUKIMBIA UWANJANI..
NADHANI HADI HAPO USHAJUA MSHINDI NANI MZEE WA NANII
ISSAH UNATUKUMBUSHA MBALI SANA NAOMBA KILA KUKICHA UWE UNATOA PICHA ZA AINA HII ILITUKUMBUKE TULIPOTOKA PLEASE.USISAHAU KUWAPA POLE MAN U ,ANGALIA IMARATI TUNAVYOKANDAMIZA -Mdau TX
ReplyDeleteDuuuh wachezaji wazamani walikuwa mijitu ya miraba minne, HIVI unaweza kuwalinganisha na sijui akina Cannavaro wa bongo???au sijui Tegete???mmmh.
ReplyDeleteMcheck Yusuf Athman Ismail "Bana" anavyomkabili Zamoyoni Mogella "Golden BOY" na huku Muhidin Cheupe akicheck kwa umakini.Mpira zamani, sasa hivi ni madolidoli tuu.
HABARI NDIYO HIYO
Hivi hizi timu enzi hizo walikuwa wanalipwa na haya makampuni ya vifaa vya michezo kama wadhamini au walikuwa wanajivalia tu jezi na kutangaza makampuni hayo bure, na siku hizi je ni hivyo hivyo kutangaza kwa bure au mambo yamebadilika? wachezaji wa zamani walikuwa na shape na miili ya mpira si hawa wa siku hizi.
ReplyDeleteKAKA MICHUZI HII NI 1985 NGOMA DROO 1-1 YANGA NDIO WA KWANZA KUPACHIKA BAO KATIKA DAKIKA YA 13 KUPITIA KWA SAID MRISHO"ZICO"BAADA YA OMAR HUSSEIN KUMTOKA THOBIAS NKOMA(MAREHEMU)nA kUMPATIA ZICO WA KILOSA ALIEMTUNGUA KIRAHISI OMAR SALEH"SUPER OMBOKA"ZIKIWA ZIMESALIA DAKIKA 2 KABLA YA MAPUMZIKO MUHAMMED 'BOB'CHOPA(MAREHEMU)ALIWANYANYUA VITI WAPENZI WA LUNYASI BAADA YA KUMALIZIA GONGA SAFI KATI YA JOHN DOUGLAS NA MALOTA SOMA NA KUMTUGUA JOSEPH FUNGO MPAKA MWISHO YANGA-1 SIMBA-1 SIMBA WALIONDOKA BAADA YA WIKI KWENDA CAIRO KURUDIANA NA AHLY YA HUKO NA KUCHAPWA 2-0 KATIKA KOMBE LA WASHINDI BARANI AFRICA
ReplyDeleteASANTE KWA HAYA
MDAU WA SOKA LA BONGO
SHEBBE EL JEIZAN
chimoahmed@gmail.com
Duuuh mdau Shebe sikuwezi una kumbukumbu kali sana.safi sana mazee endeleza libeneke.
ReplyDeleteCha chandu - UK
Mdau Shebbe we kiboko. Ulikua unaandika hizo kumbukumbu au zipo kwa head. Ahsante sana-
ReplyDeleteBwana Michu unauliza vikoi unguja SIMBA 2 YANGA 0 MDAU JAMES. HOLLAND
ReplyDeleteaisee izi kumbukumbu zimeandikwa ktk makumbusho yetu ya Taifa Tz??
ReplyDeleteau ndo mdomo tu??
uyu jamaa shebbe atusaidie awape wizara izo kumbukumbu adhimu na adimu ziandikwe,,ndo mana wazungu walitu-brainwash,,hatutunzi maandishi
cjui kuna kidudu gani ndani ya ngozi hii,,,,,,jaza
Wadau mmeiona hiyo buti ya Mtaalamu Muhidin Cheupe?
ReplyDeleteHiyo upande mmoja alivaa safari buti siku hiyo, Bob Chopa aliona moto, kiatu mtu kilikuwa.