Kwa Miziki mbali mbali iliyokwenda shule toka Tanzania, Ringtones za Kitanzania, Forums, n.k tembelea
Na sasa unaweza uka-share miziki uliyonayo na watu wengine kwa ku-upload miziki yako kupitia hapa.
Karibu / Welcome to the Galaxy.

MK Music Galaxy - Exploring The Tanzanian Music.
Part of

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mmekosa kazi nyie. Kila siku mnatutangazia website ambayo hamuiboreshi. Actually, inazidi kuwa mabaya siku hadi siku. Sasa hivi uki-click AUDIO hakuna! Video zetu ni tatu tu, miaka nenda miaka rudi. Kweli sisi tunastahili kuangalia site ya aina hii katika huu ulimwengu wa teknolojia?

    ReplyDelete
  2. We mjomba! hapo juu upo karne ya ngapi? Au una angalia website yako ya kipekee? Hakuna website ipo up to date kama hii, Kila wiki wanaweka nyimbo mpya, try to refresh your browser and delete your cache inawezekana una angalia website ya miaka iliyopita.

    Next time mojomba wa Tarehe October 20, 2008 6:58 AM hapo juu usikurupuke tu bila ya kuangalia kwa makini, Umiza akili, fanya research kabla ya kuongea pumba.

    Kalaga bao si twaendelea kula miziki ya nguvu tu hapa.

    Mdau wa Zenji

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...