Kwa Miziki mbali mbali iliyokwenda shule toka Tanzania, Ringtones za Kitanzania, Forums, n.k tembelea Na sasa unaweza uka-share miziki uliyonayo na watu wengine kwa ku-upload miziki yako kupitia hapa.
Karibu / Welcome to the Galaxy.
MK Music Galaxy - Exploring The Tanzanian Music.
Part of


Mmekosa kazi nyie. Kila siku mnatutangazia website ambayo hamuiboreshi. Actually, inazidi kuwa mabaya siku hadi siku. Sasa hivi uki-click AUDIO hakuna! Video zetu ni tatu tu, miaka nenda miaka rudi. Kweli sisi tunastahili kuangalia site ya aina hii katika huu ulimwengu wa teknolojia?
ReplyDeleteWe mjomba! hapo juu upo karne ya ngapi? Au una angalia website yako ya kipekee? Hakuna website ipo up to date kama hii, Kila wiki wanaweka nyimbo mpya, try to refresh your browser and delete your cache inawezekana una angalia website ya miaka iliyopita.
ReplyDeleteNext time mojomba wa Tarehe October 20, 2008 6:58 AM hapo juu usikurupuke tu bila ya kuangalia kwa makini, Umiza akili, fanya research kabla ya kuongea pumba.
Kalaga bao si twaendelea kula miziki ya nguvu tu hapa.
Mdau wa Zenji