basi kama wewe ni mmoja wa wadau wa taswirazzz usikose kutembelea http://libenekelataswira.blogspot.com/
kupata darasa, burudani, maoni, ukosoaji wa kujenga na mengineyo
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Naomba kuuliza swali hivi hotel ya kempinski kilimanjaro ni kilimanjaro hotel ya zamani ama ni sheraton hotel ya zamani.Samahani kama sieleweki.Nimetoka bongo kitambo wazee.
ReplyDeleteThanks Michuzi kwa kufungua hiyo site...nimeobookmarks na kila siku nitakua huko.
ReplyDeleteHuwzi amini nina album 15 zenye picha 200 kila moja na hiyo nikabla ya digital world sassa hivi nina cd sijui ngapi....Kupiga picha ndio kilevi changu.
Hapo juu Kempinski ni kilimanjaro ya zamani...
Hiyo picha imetoka sio utani
SASA HAPO HOTELI NI IPI?....NI HILO JENGO LILILOPIGIKA NUSU KWENYE PICHA AU HAYO MAGOROPHA MAWILI YALIYOTOKA KAMILI?
ReplyDeleteNINAAMINI UNAPOPIGA PICHA LAZIMA AWEPO MLENGWA (subject), LAKINI KATIKA PICHA HII NIMESHINDWA KUAMINI KAMA HOTELI INAYOTAJWA KUWA NDIYO MLENGWA KWANI HAKUNA DALILI ZOZOTE ZAKUWEPO HOTELI KATIKA PICHA HIYO LABDA TU MTU ANILAZIMISHE NISEME IPO.LABDA HAYO MAJENGO YANAYOONEKANA VIZURI ZAIDI NDIYO HOTELI INAYOTAJWA KAMA ITAKUWA IMEKUA.
ReplyDeleteheeeeeee mpigaji hajatulia
ReplyDeleteayo magorofa mawili amrefu ni benk kuu,Kempiski ni iyo ilokatwa upande
hello michuzi nitanga tangazo langu ingawa sio mahali pake hapa mie nahitaji nyimbo za bolingo,zouk pamoja na za dini zote ziwe mp3 bolingo ziwe200 zouk ziwe150 dini ziwe 200 ntazinunua zote hizi sawa simu yangu ni 0755 631515 james nipo dar
ReplyDeletehello michuzi nitanga tangazo langu ingawa sio mahali pake hapa mie nahitaji nyimbo za bolingo,zouk pamoja na za dini zote ziwe mp3 bolingo ziwe200 zouk ziwe150 dini ziwe 200 ntazinunua zote hizi sawa simu yangu ni 0755 631515 james nipo dar
ReplyDelete